-
UN: Mazungumzo baina ya Iran na Saudi Arabia ni "muhimu sana"
Oct 08, 2021 03:59Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema, mazungumzo kati ya Iran na Saudi Arabia ni "muhimu sana".
-
Serikali ya Ethiopia yatoa amri ya kutimuliwa maafisa 7 wa UN kwa "kuingilia" masuala ya ndani ya nchi hiyo
Sep 30, 2021 22:57Serikali ya Ethiopia imeamuru maafisa saba waandamizi wa Umoja wa Mataifa waondolewe nchini humo kwa kile ilichokiita kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Kuwait: Palestina ingali maudhui kuu na ya msingi katika ulimwengu wa Kiislamu
Sep 26, 2021 01:05Waziri Mkuu wa Kuwait amesema kuwa, Palestina ingali maudhui kuu na ya asili katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Rais Samia awaomba Watanzania ushirikiano katika kutekeleza ahadi zake UN
Sep 25, 2021 11:48Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameomba ushirikiano wa Watanzania ili kuyatekeleza kwa vitendo yale aliyoahidi katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York huko Marekani.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya kukiuka sheria vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Sep 20, 2021 22:09Alena Douhan, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu taathira hasi za vikwazo vya upande mmoja dhidi ya haki za binadamu amesisitiza kwamba vikwazo vya upande mmoja vya Marekani vinakiuka wazi sheria za kimataifa.
-
Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusu kupotea maelfu ya wahajiri waliorejeshwa Libya
Sep 19, 2021 02:09Afisa mmoja wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa amebainisha kutiwa wasiwasi na kupotea maelfu ya wahajiri ambao walikatizwa safari yao kuelekea Ulaya na kisha kurejeshwa Libya.
-
Katibu Mkuu wa UN: Tuna deni kubwa kwa wananchi wa Afghanistan
Sep 14, 2021 03:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuhusu mustakabali wa kibinadamu nchini Afghanistan ya kwamba suala muhimu si kile ambacho watapatiwa wananchi wa taifa hilo bali deni la jamii ya kimataifa kwa wananchi wao.
-
Umoja wa Mataifa wakosolewa kwa kuupendelea muungano vamizi wa Saudia
Sep 12, 2021 03:15Viongozi wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen wamekosoa vikali kile walichokitaja kuwa, hatua za Umoja wa Mataifa za kuupendelea muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia.
-
Umoja wa Mataifa: Nusu ya raia wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kibinadamu
Sep 08, 2021 07:19Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kibinadamu amesema kuwa, nusu ya wananchi wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kibinadamu.
-
Umoja wa Mataifa: Huduma muhimu nchini Afghanistan zimo katika hali ya kusambaratika
Sep 07, 2021 22:08Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya uratibu wa misaada ya kibinadamu, (OCHA) imetangaza kuwa, mamilioni ya wananchi wa Afghanistan wanahitajia misaada ya chakula pamoja na huduma za kiafya.