Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Tishio la Boko Haram Nigeria lasababisha watu 30 elfu kutoroka nchi

    UN: Tishio la Boko Haram Nigeria lasababisha watu 30 elfu kutoroka nchi

    Jan 29, 2019 12:41

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 30,000 wamekimbia makazi yao katika mji wa Rann kaskazini mwa Nigeria na kuingia katika nchi jirani ya Cameroon kutokana na wasiwasi wa kushambuliwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.

  • UN yachimbua makaburi 50 ya halaiki magharibi mwa Kongo DR

    UN yachimbua makaburi 50 ya halaiki magharibi mwa Kongo DR

    Jan 27, 2019 04:10

    Timu ya wataalamu wa Ofisi ya Pamoja ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UNJHRO) imefukua zaidi ya makaburi 50 ya umati magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuripotiwa wimbi la mauaji yaliyotokea mwezi uliopita katika eneo hilo.

  • Mkuu wa jeshi la Myanmar akabiliwa na mashitaka ya mauaji ya kimbari

    Mkuu wa jeshi la Myanmar akabiliwa na mashitaka ya mauaji ya kimbari

    Jan 26, 2019 04:36

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Myanmar amesema kuna udharura wa kumfungulia mashitaka ya jinai mkuu wa jeshi la Myanmar kwa kuongoza wimbi la mauaji dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo sambamba na kubakwa wanawake Waislamu wa jamii hiyo inayokandamizwa.

  • UN yataka uchunguzi wa mauaji ya askari wa kulinda amani Mali ufanyike

    UN yataka uchunguzi wa mauaji ya askari wa kulinda amani Mali ufanyike

    Jan 26, 2019 04:25

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa mauaji ya askari wa Kikosi cha Kulinda Amani cha UN nchini Mali (MINUSMA), waliopoteza maisha baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini jana Ijumaa.

  • UN: Jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran katika kupambana na madawa ya kulevya

    UN: Jamii ya kimataifa ishirikiane na Iran katika kupambana na madawa ya kulevya

    Jan 17, 2019 12:46

    Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kukabiliana na Mihadarati na Uhalifu (UNODC) ya hapa mjini Tehran amesema, kuna udharura wa dunia kuwa na mshikamano na Iran katika kupambana na mihadarati.

  • UN: Watu karibu 900 wameuawa katika mapigano ya kikabila DRC

    UN: Watu karibu 900 wameuawa katika mapigano ya kikabila DRC

    Jan 17, 2019 04:21

    Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 890 wameuawa katika ghasia za kikabila zilizotokea huko kaskazini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi uliopita wa Disemba 2018.

  • Baraza la Usalama UN lazitaka pande zote Kongo DR ziheshimu matokeo ya uchaguzi

    Baraza la Usalama UN lazitaka pande zote Kongo DR ziheshimu matokeo ya uchaguzi

    Jan 16, 2019 04:26

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limezitaka pande zote nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ziheshimu matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo.

  • Theluthi moja ya wafanyakazi wa UN wamenyanyaswa kingono katika miaka miwili iliyopita

    Theluthi moja ya wafanyakazi wa UN wamenyanyaswa kingono katika miaka miwili iliyopita

    Jan 16, 2019 03:51

    Theluthi moja ya wafanyakazi na wakandarasi wa Umoja wa Mataifa wamefanyiwa vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

  • AU na UN zafufua mazungumzo ya amani Jamhuri ya Afrika ya Kati

    AU na UN zafufua mazungumzo ya amani Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jan 09, 2019 13:28

    Maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa wako katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa lengo la kuhuisha mchakato wa mazungumzo ya amani uliokwama tangu Julai mwaka 2017.

  • Kuanza kazi mjumbe maalumu mpya wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria

    Kuanza kazi mjumbe maalumu mpya wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria

    Jan 09, 2019 04:05

    Geir Pedersen, mwanadiplomasia mkongwe wa Norway ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuchukua mikoba ya Staffan de Mistura aliyekuwa mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria, Jumatatu ya juzi alianza rasmi kazi yake hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS