Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN: Ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na wasichana wa Myanmar ni jinai za kivita

    UN: Ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na wasichana wa Myanmar ni jinai za kivita

    Nov 23, 2017 10:52

    Umoja wa Mataifa umesema ukatili wa kingono uliofanywa na Jeshi la Myanmar dhidi ya wanawake na wasichana Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mkoa wa Rakhine ni jinai za kivita.

  • Baada ya Mugabe kujiuzulu, Umoja wa Mataifa wawataka Wazimbabwe kudumisha utulivu

    Baada ya Mugabe kujiuzulu, Umoja wa Mataifa wawataka Wazimbabwe kudumisha utulivu

    Nov 22, 2017 04:31

    Umoja wa Mataifa umewataka wananchi wa Zimbabwe kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki baada ya Rais Robert Mugabe kutangaza kujiuzulu hapo jana.

  • Umoja wa Mataifa waikosoa Burundi kwa kutishia maafisa wake

    Umoja wa Mataifa waikosoa Burundi kwa kutishia maafisa wake

    Nov 21, 2017 23:35

    Ofisi ya masuala ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeikosoa vikali serikali ya Burundi kwa kuwatishia wataalamu wa uchunguzi wa umoja huo.

  • Taasisi 35 za Kimataifa zataka Umoja wa Mataifa uwasiadie Waislamu wa Myanmar

    Taasisi 35 za Kimataifa zataka Umoja wa Mataifa uwasiadie Waislamu wa Myanmar

    Nov 21, 2017 04:19

    Taasisi 35 za kimataifa zimeuandikia barua Umoja wa Mataifa zikitaka kuitishwe kikao cha dharura kujadili hali mbaya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ambao wanakabiliwa na mauaji ya umati.

  • Tanzania yalaumiwa vikali kwa kutopigia kura azimio la UN la kutetea Waislamu wa Myanmar

    Tanzania yalaumiwa vikali kwa kutopigia kura azimio la UN la kutetea Waislamu wa Myanmar

    Nov 20, 2017 04:22

    Mbunge mashuhuri katika bunge la Tanzania ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa hatua yake ya kutopigia kura azimio la Umoja wa Mataifa linalotaka serikali ya Myanmar ikomeshe operesheni za kijeshi zinazolenga kukandamiza jamii ya wachache ya Waislamu Warohingya nchini humo.

  • UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu

    UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu

    Nov 15, 2017 03:53

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema sera ya Umoja wa Ulaya ya kuwasaidia maafisa wa serikali ya Libya kuwazuilia wakimbizi wanaotaka kwenda Ulaya kupitia safari hatari za baharini ni kitendo kisicho cha ubinadamu.

  • Zarif amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN; Hali ya Yemen ni mbaya sana

    Zarif amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN; Hali ya Yemen ni mbaya sana

    Nov 14, 2017 03:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku alimuandikia barua Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akisema kuwa hali ya mambo nchini Yemen ni mbaya sana na inatia wasiwasi mkubwa; hiyo ikiwa ni natija ya uvamizi wa kijeshi na kuzingirwa pande zote nchi hiyo na utawala wa kidikteta wa Saudi Arabia.

  • EU na UN zatilia mkazo ulazima wa kufikiwa maeneo yaliyoathiriwa na vita Yemen

    EU na UN zatilia mkazo ulazima wa kufikiwa maeneo yaliyoathiriwa na vita Yemen

    Nov 13, 2017 00:48

    Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya anayehusika na misaada ya kibinadamu amesema kuwa mazingira ya kufikishwa misaada zaidi katika maeneo yaliyoathiriwa na vita huko Yemen yanapasa kuandaliwa kwa kuzingatia hali mbaya inayoisibu nchi hiyo.

  • UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger

    UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger

    Nov 12, 2017 10:42

    Umoja wa Mataifa umeanza zoezi la kuwahamisha wakimbizi wa nchi za Afrika walioko Libya na kuwapeleka nchini Niger.

  • Umoja wa Mataifa wataka kukamatwa watu waliouwa wataalamu wake Congo DR

    Umoja wa Mataifa wataka kukamatwa watu waliouwa wataalamu wake Congo DR

    Nov 10, 2017 00:50

    Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoa ushirikiano katika jitihada za kuweka wazi kadhia ya mauaji ya wataalamu wake wawili nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS