Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Taasisi 35 za Kimataifa zataka Umoja wa Mataifa uwasiadie Waislamu wa Myanmar

    Taasisi 35 za Kimataifa zataka Umoja wa Mataifa uwasiadie Waislamu wa Myanmar

    Nov 21, 2017 04:19

    Taasisi 35 za kimataifa zimeuandikia barua Umoja wa Mataifa zikitaka kuitishwe kikao cha dharura kujadili hali mbaya ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ambao wanakabiliwa na mauaji ya umati.

  • Tanzania yalaumiwa vikali kwa kutopigia kura azimio la UN la kutetea Waislamu wa Myanmar

    Tanzania yalaumiwa vikali kwa kutopigia kura azimio la UN la kutetea Waislamu wa Myanmar

    Nov 20, 2017 04:22

    Mbunge mashuhuri katika bunge la Tanzania ameikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa hatua yake ya kutopigia kura azimio la Umoja wa Mataifa linalotaka serikali ya Myanmar ikomeshe operesheni za kijeshi zinazolenga kukandamiza jamii ya wachache ya Waislamu Warohingya nchini humo.

  • UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu

    UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu

    Nov 15, 2017 03:53

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema sera ya Umoja wa Ulaya ya kuwasaidia maafisa wa serikali ya Libya kuwazuilia wakimbizi wanaotaka kwenda Ulaya kupitia safari hatari za baharini ni kitendo kisicho cha ubinadamu.

  • Zarif amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN; Hali ya Yemen ni mbaya sana

    Zarif amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN; Hali ya Yemen ni mbaya sana

    Nov 14, 2017 03:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku alimuandikia barua Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akisema kuwa hali ya mambo nchini Yemen ni mbaya sana na inatia wasiwasi mkubwa; hiyo ikiwa ni natija ya uvamizi wa kijeshi na kuzingirwa pande zote nchi hiyo na utawala wa kidikteta wa Saudi Arabia.

  • EU na UN zatilia mkazo ulazima wa kufikiwa maeneo yaliyoathiriwa na vita Yemen

    EU na UN zatilia mkazo ulazima wa kufikiwa maeneo yaliyoathiriwa na vita Yemen

    Nov 13, 2017 00:48

    Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya anayehusika na misaada ya kibinadamu amesema kuwa mazingira ya kufikishwa misaada zaidi katika maeneo yaliyoathiriwa na vita huko Yemen yanapasa kuandaliwa kwa kuzingatia hali mbaya inayoisibu nchi hiyo.

  • UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger

    UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger

    Nov 12, 2017 10:42

    Umoja wa Mataifa umeanza zoezi la kuwahamisha wakimbizi wa nchi za Afrika walioko Libya na kuwapeleka nchini Niger.

  • Umoja wa Mataifa wataka kukamatwa watu waliouwa wataalamu wake Congo DR

    Umoja wa Mataifa wataka kukamatwa watu waliouwa wataalamu wake Congo DR

    Nov 10, 2017 00:50

    Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutoa ushirikiano katika jitihada za kuweka wazi kadhia ya mauaji ya wataalamu wake wawili nchini humo.

  • UN: Saudia inazuia kufikishwa misaada ya kibinadamu kwa Wayemen

    UN: Saudia inazuia kufikishwa misaada ya kibinadamu kwa Wayemen

    Nov 07, 2017 04:46

    Umoja wa Mataifa umesema hatua ya Saudi Arabia kufunga mipaka ya ardhini, angani na baharini ya Yemen imepelekea umoja huo ushindwe kufikisha misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wananchi wanaosumbuliwa na njaa wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Guterres: Umoja wa Mataifa umeazimia kulinda mazingira

    Guterres: Umoja wa Mataifa umeazimia kulinda mazingira

    Nov 06, 2017 09:21

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuhusu azma ya umoja huo ya kulinda mazingira duniani.

  • Richard Falk wa UN: Kurejea amani Palestina ni sharti kwanza ufutwe utawala wa kibaguzi wa Israel

    Richard Falk wa UN: Kurejea amani Palestina ni sharti kwanza ufutwe utawala wa kibaguzi wa Israel

    Nov 03, 2017 03:58

    Ripota maalumu wa zamani wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu sambamba na kuashiria kuwa, umoja huo hauna haki ya kuainisha mustakbali wa taifa la Palestina, amesema kuwa ili kurejea usalama na amani katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, ni sharti kwanza kuondoshwa utawala wa kibaguzi wa Israel ambao unazikalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS