-
Mwakilishi wa UN ataka kususiwa Israel, Marekani yapinga
Oct 28, 2017 12:09Ofisi ya mwakilishi wa Mrekani katika Umoja wa Mataifa imekosoa msimamo wa Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UN: Watoto wa Yemen wanakabiliwa na mgogoro mkubwa zaidi wa chakula duniani
Oct 24, 2017 01:02Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa jana ilitoa taarifa na kueleza kuwa uvamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia huko Yemen ni haribifu na kusisitiza kuwa jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saudia zimewasababishia watoto wa Yemen kukumbwa na mgogoro mkubwa zaidi wa chakula duniani na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
-
Rwanda yatajwa kuzuia safari ya timu ya kuzuia utesaji ya Umoja wa Mataifa
Oct 21, 2017 23:38Kamisheni ya Kuzuia Utesaji ya Umoja wa Mataifa imeahirisha safari ya ujumbe wa kamisheni hiyo kwenda Rwanda.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asisitiza kutumwa askari zaidi CAR
Oct 18, 2017 11:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kutumwa askari 900 wa kofia buluu wa umoja huo kwa ajili ya kusimamia amani Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Kukosolewa serikali ya Juba na UN kwa kigugumizi chake katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan Kusini
Oct 18, 2017 09:56Kuendelea vita vya ndani huko Sudan Kusini, kumeufanya Umoja wa Mataifa uituhumu serikali ya Juba kwamba, imekuwa na kigugumizi na hali ya kusitasita katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Katibu Mkuu wa UN ataka mapambano ya kimataifa dhidi ya umaskini
Oct 18, 2017 04:13Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuendeshwa mapambano ya kutokomeza vyanzo vya umaskini duniani.
-
Katibu Mkuu wa UN asisitiza umuhimu wa kutatuliwa migogoro ya Afrika
Oct 14, 2017 23:25Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza umuhimu wa kutatuliwa migogoro ya Afrika kwa shabaha ya kutafuta sababu na chanzo cha njaa na uhaba wa chakula katika nchi za bara hilo na huko Yemen.
-
Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya
Oct 13, 2017 10:49Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.
-
UN yatahadharisha kuhusu mgogoro wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 10, 2017 12:15Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kushadidi zaidi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Waasi washambulia kituo cha askari wa Umoja wa Mataifa DRC
Oct 10, 2017 04:42Duru za kuaminika huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimesema kuwa, waasi wa Uganda wameshambulia kituo cha askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa mashariki mwa Kongo.