-
UN yajitosa katika uchaguzi wa marudio Kenya, wapinzani kuandamana dhidi ya IEBC
Sep 26, 2017 04:20Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini mkataba na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) kuhusu zabuni ya karatasi za kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
-
UN: Kura ya maoni ya kujitenga Kurdistan kutoka Iraq itavuruga amani
Sep 26, 2017 04:16Kwa mara nyingine tena António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kitendo cha viongozi wa eneo la Kurdistan huko kaskzini mwa Iraq kushikilia suala la kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo hilo na serikali kuu ya nchi hiyo.
-
UN yasikitishwa na kushtadi ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni, Palestina
Sep 26, 2017 04:08Umoja wa Mataifa umekosoa mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Wapalestina licha ya Baraza la Usalama la umoja huo kupasisha azimio la kulaani na kutaka kusimamishwa ujenzi huo mwishoni mwa mwaka jana.
-
UN yasikitishwa na kushtadi ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni, Palestina
Sep 26, 2017 01:19Umoja wa Mataifa umekosoa mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Wapalestina licha ya Baraza la Usalama la umoja huo kupasisha azimio la kulaani na kutaka kusimamishwa ujenzi huo mwishoni mwa mwaka jana.
-
Askari 8 wa UN wauawa, kujeruhiwa katika mripuko nchini Mali
Sep 24, 2017 11:01Wanajeshi watatu wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali MINUSMA wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea kaskazini mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Thuluthi nzima ya kesi za askari wa UN za kuwabaka wanawake zimeripotiwa DRC
Sep 24, 2017 10:18Ripoti mpya imeonyesha kuwa, thuluthi nzima ya vitendo vya ubakaji na dhulma za kijinsia dhidi ya wanawake vinavyofanywa na askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa vimeripotiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Umoja wa Mataifa wayataka makundi ya kisiasa Togo kuanza mazungumzo ya maana
Sep 24, 2017 04:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitolea wito serikali na makundi yote ya kisiasa ya Togo kuanza mazungumzo ya maana.
-
Umoja wa Mataifa: Wimbi la wakimbizi wa Myanmar ndilo kubwa zaidi katika miongo ya hivi karibuni
Sep 24, 2017 00:02Ofisi ya ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imetangaza kuwa, hadi sasa Waislamu laki saba wa jamii ya Rohingya wa Myanmar wamelazimika kukimbilia nchi jirani ya Banghladesh na kwamba, wimbi hilo la wakimbizi ndilo kubwa zaidi katika miango ya hivi karibuni.
-
Askari wa serikali ya Kongo DR watuhumiwa kuhusika na mauaji ya raia
Sep 24, 2017 00:01Wakimbizi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewatuhumu maafisa usalama wa serikali kuwa wamehusika katika mauaji ya raia.
-
UN: Wafuasi wa Gaddafi wanaweza kushiriki katika siasa za Libya
Sep 23, 2017 12:02Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro wa Libya amesema kuwa, makundi yote ya nchi hiyo wakiwemo wafuasi wa dikteta wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi wanaweza kushiriki katika mwenendo wa kisiasa wa nchi hiyo.