Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • OCHA: Misaada zaidi ya kibinaadamu inahitajika kwa ajili ya Waislamu wa Myanmar

    OCHA: Misaada zaidi ya kibinaadamu inahitajika kwa ajili ya Waislamu wa Myanmar

    Sep 22, 2017 01:02

    Ofisi ya Uratibu ya Umoja wa Mataifa Inayoshughulikia Masuala ya Kibinaadamu (OCHA) imetoa mwito wa kuongezwa bajeti ya misaada ya kibinaadamu kwa ajili ya wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya wa nchini Myanmar.

  • Rais Hassan Rouhani atoa hotuba UN akosoa vikali hotuba yaTrump, aitaja kuwa ya kijahili na kijinga

    Rais Hassan Rouhani atoa hotuba UN akosoa vikali hotuba yaTrump, aitaja kuwa ya kijahili na kijinga

    Sep 20, 2017 12:51

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran amesema kuwa, miamala ya kijahili, michafu, chuki na iliyokosa uelewa na utoaji tuhuma zisizokuwa na msingi wowote ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya taifa la Iran katika mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) si tu kwamba, haiendani na umoja huo, bali inakinzana pia na matakwa na matarajio ya leo ya watu wa mataifa yote ya dunia katika kikao hicho. 

  • Hotuba ya kifidhuli ya Trump UN yakosolewa vikali duniani

    Hotuba ya kifidhuli ya Trump UN yakosolewa vikali duniani

    Sep 20, 2017 03:35

    Matamshi ya kifedhuli aliyotoa Rais Donald Trump wa Marekani katika hotuba yake ya kwanza katika mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) yamekosolewa vikali na viongozi na shakhsia mbalimbali wa kisiasa duniani.

  • Iran yatoa jibu kwa matamshi ya kilaghai ya Netanyahu katika UNGA

    Iran yatoa jibu kwa matamshi ya kilaghai ya Netanyahu katika UNGA

    Sep 20, 2017 02:58

    Mshauri wa ofisi ya uwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema matamshi dhidi ya Iran aliyotoa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ni ya kinafiki na ya kilaghai.

  • Matakwa mapya ya kufanyiwa marekebisho muundo wa Umoja wa Mataifa

    Matakwa mapya ya kufanyiwa marekebisho muundo wa Umoja wa Mataifa

    Sep 19, 2017 23:21

    Ikiwa ni katika harakati mpya, wawakilishi wa nchi 128 wametia saini mpango wa kutaka marekebisho yafanyike katika muundo wa Umoja wa Mataifa.

  • Mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la UN waanza leo New York

    Mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la UN waanza leo New York

    Sep 19, 2017 11:34

    Mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa umefunguliwa leo mjini New York nchini Marekani kwa hotuba ilioyotolewa na Katibu Mkuu wa umoja huo António Guterres.

  • UN yataka kufanyike uchunguzi kuhusu mgogoro wa Myanmar

    UN yataka kufanyike uchunguzi kuhusu mgogoro wa Myanmar

    Sep 19, 2017 11:07

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetaka kupewa uwezo kamili wa kuchunguza mgogoro wa sasa wa Myanmar bila ya mpaka wala kizuizi.

  • Rais Rouhani wa Iran aelekea New York katika mkutano wa UN

    Rais Rouhani wa Iran aelekea New York katika mkutano wa UN

    Sep 17, 2017 03:21

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni kwa maslahi ya amani na uthabiti sio tu kwa eneo hili la Mashariki ya Kati bali kwa dunia nzima.

  • UN yataka kuongezwa askari wa kulinda amani Jamhuri ya Afrika ya Kati

    UN yataka kuongezwa askari wa kulinda amani Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Sep 17, 2017 03:10

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati kimetoa mwito wa kutumwa katika nchi hiyo mamia ya askari zaidi ili kujaza pengo lililoachwa baada ya Uganda kuwaondoa wanajeshi wake nchini humo.

  • Chama tawala Burundi kimelalamikia ripoti ya UN kuhusu haki za binadamu

    Chama tawala Burundi kimelalamikia ripoti ya UN kuhusu haki za binadamu

    Sep 17, 2017 00:08

    Chama tawala nchini Burundi kimelalamikia ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyoitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) ifanye uchunguzi kuhusu jinai zilizofanywa na viongozi wa Burundi dhidi ya raia wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS