-
UN: Watu zaidi ya milioni 800 wanakabiliwa na baa la njaa kote duniani
Sep 15, 2017 09:50Taasisi kadhaa za Umoja wa Mataifa zimesema kiwango cha njaa duniani kimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha muongo mmoja uliopita na kwamba asilimia 11 ya idadi ya watu kote duniani inasumbuliwa na makali ya njaa.
-
UN yataka ufanyike uchunguzi kuhusu ukiukaji haki za binadamu uliofanywa Yemen
Sep 12, 2017 03:15Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametaka ufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu ukiukaji haki za binadamu uliofanywa katika vita vya Yemen.
-
Wanachuo waandamana Tehran kuunga mkono Waislamu wa Myanmar
Sep 10, 2017 22:48Wanafunzi mbalimbali wa vyuo vikuu nchini Iran wamefanya maandamano mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Tehran na kuzitaka nchi za Kiislamu na jamii ya kimataifa hasa hasa Umoja wa Mataifa kutoendelea kunyamazia kimya mauaji ya kimbari wanayofanyiwa Waislamu wa Myanmar.
-
Nchi za Kiislamu zaafiki mpango wa UN wa kuwasaidia Waislamu Myanmar
Sep 10, 2017 09:55Nchi za Kiislamu duniani zimeafiki mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuwasaidia wakimbizi 300,000 Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ambao wamekimbilia nchini jirani ya Bangladesh kuokoa maisha yao.
-
UN yaeleza wasi wasi wake kuhusu wimbi la wakimbizi wa Rohingya nchini Bangladesh
Sep 09, 2017 03:15Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeeleza wasi wasi mkubwa lilionao kutokana na kuendelea kumiminika idadi kubwa ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Bangladesh.
-
Zarif autaka Umoja wa Mataifa kusitisha mauaji ya Waislamu Myanmar
Sep 09, 2017 00:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kusitisha ukatili unaofanyika kwa mpangilio maalumu dhidi ya Waislamu nchini Myanmar.
-
UN yaitaka Togo kukidhi matakwa halali ya wananchi
Sep 08, 2017 14:24Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Togo ameitaka serikali ya nchi hiyo iwatimizie wananchi matarajio waliyonayo wakati polisi wa nchi hiyo wakiripotiwa kukabiliana na waaandamanaji wanaotaka kuhitimishwa utawala wa kifamilia wa miaka hamsini nchini humo.
-
Utawala mbovu, chanzo cha vijana kuwa na misimamo mikali Afrika
Sep 08, 2017 02:22Vijana wa Afrika wanajiunga na makundi yenye misimamo mikali kutokana na sababu kadhaa ikiwemo kupuuzwa, kunyimwa fursa pamoja na ukosefu wa utawala bora.
-
UN yawataka wapinzani Syria kusalimu amri na kukubali kushindwa
Sep 07, 2017 09:46Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Syria ameyataka makundi ya wapinzani katika nchi hiyo ya Kiarabu wasalimu amri na kutangaza kuwa yameshindwa katika mapambano yao ya kuiong'oa madarakani serikali ya Rais Bashar al-Assad.
-
Iran: Mataifa yote yanapaswa kuzuia kutokea maafa ya kibinadamu Myanmar
Sep 07, 2017 00:08Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi mkubwa alionao kutokana na hali mbaya na ya kusikitisha wanayokabiliwa nayo Waislamu wa Myanmar na kuelezea juu ya kuundwa kundi ma mawasiliano la nchi za Kiislamu katika siku za usoni.