Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yapasisha azimio la vikwazo dhidi ya Mali

    UN yapasisha azimio la vikwazo dhidi ya Mali

    Sep 06, 2017 11:40

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio dhidi ya shakhsia au makundi yanayokwamisha mchakato wa kurejesha amani nchini Mali.

  • WFP yaikosoa Saudia kwa kusababisha mgogoro wa kibinadamu Yemen

    WFP yaikosoa Saudia kwa kusababisha mgogoro wa kibinadamu Yemen

    Sep 05, 2017 09:38

    Mpango wa Chakula Duniani wa Umoja wa Mataifa WFP umeukosoa moja kwa moja utawala wa kifalme wa Aal-Saud kwa kusababisha mgogoro mkubwa wa kibinadamu nchini Yemen.

  • UN: Ndege za Marekani na washirika wake zinaua idadi kubwa ya raia Syria

    UN: Ndege za Marekani na washirika wake zinaua idadi kubwa ya raia Syria

    Aug 31, 2017 22:58

    Mratibu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema kuwa, idadi kubwa ya raia wanaouawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani na washirika wake huko Raqqa nchini Syria inatia wasiwasi.

  • UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza

    UN yaitaka Israel iondoe mzingiro wa kibaguzi Ukanda wa Gaza

    Aug 30, 2017 10:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mzingiro wa kibaguzi wa karibu muongo mmoja dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Hamas yautaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa Gaza

    Hamas yautaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa Gaza

    Aug 30, 2017 03:25

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeutaka Umoja wa Mataifa uchukue hatua za kuhitimisha mzingiro wa kidhulma dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini na kuendelea mapigano

    Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini na kuendelea mapigano

    Aug 28, 2017 02:47

    Mgogoro wa kisiasa na mapigano katika nchi ya Sudan Kusini yanaendelea katika hali ambayo, kwa akali watu 40 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea kati ya jeshi la nchi hiyo na waasi katika jimbo la Yei.

  • Katibu Mkuu wa UN aitaka Saudia iruhusu kufikishwa misaada ya kibinadamu kwa raia wa Yemen

    Katibu Mkuu wa UN aitaka Saudia iruhusu kufikishwa misaada ya kibinadamu kwa raia wa Yemen

    Aug 27, 2017 23:28

    Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa pande zote zinazopigana nchini Yemen ukiwemo utawala vamizi wa Saudi Arabia ziruhusu kuingizwa misaada ya kibinadamu katika nchi hiyo masikini ya Kiarabu huku moto wa vita uliowashwa na Saudia ukiendelea kuteketeza roho za raia wakiwemo wanawake na watoto.

  • UN: Watu milioni 3.8 wamefurushwa makwao kutokana na machafuko DRC

    UN: Watu milioni 3.8 wamefurushwa makwao kutokana na machafuko DRC

    Aug 27, 2017 03:06

    Umoja wa Mataifa umesema idadi ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliolazimika kuwa wakimbizi kutokana na machafuko na mapigano nchini humo imeongezeka maradufu.

  • Ndege za kivita za Saudia zimeua raia 56 Yemen katika wiki moja

    Ndege za kivita za Saudia zimeua raia 56 Yemen katika wiki moja

    Aug 26, 2017 02:23

    Hujuma za ndege za kivita za Saudia zimeua raia zaidi ya 56 kote Yemen wakiwemo wanawake na watoto katika kipindi cha wiki moja iliyopita.

  • Ansarullah: Wananchi wa Yemen hawana imani na Umoja wa Mataifa

    Ansarullah: Wananchi wa Yemen hawana imani na Umoja wa Mataifa

    Aug 25, 2017 23:25

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameukosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud na kusisitiza kuwa wananchi wa Yemen hawana imani na umoja huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS