-
Kamal Kharrazi: Uungaji mkono wa EU kwa UAE ni uadui wa wazi dhidi ya Iran
Oct 18, 2024 23:34Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran amekosoa uingiliaji kati wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa malengo yasiyofaa na kuunga mkono madai ya Imarati kuhusu visiwa vitatu vya Iran, na amewatahadharisha viongozi wa Imarati kwamba waache uadui wao na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya waandamana kupinga uungaji mkono wa EU kwa Israel
Sep 21, 2024 01:01Wafanyakazi wa mashirika yenye uhusiano na Umoja wa Ulaya wamepinga sera ya umoja huo kuhusu Palestina na kutoa wito wa kusitishwa mara moja na daima mapigano huko Gaza, Palestina.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran: Umoja wa Ulaya ujiepushe kuituhumu Iran
Sep 14, 2024 09:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Umoja wa Ulaya unapasa kujiepusha na kutoa tuhuma kwa kutegemea taarifa za uongo.
-
Umoja wa Ulaya kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel
Aug 29, 2024 23:10Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amewataka mawaziri wa mambo ya nje wa EU kuzingatia vikwazo dhidi ya mawaziri wa Israel.
-
Baada ya UN, Iran yaitaarifu EU: Tutalitia adabu genge la wahalifu la utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 03, 2024 03:27Iran itatumia haki yake ya asili na halali ya kuliadhibu "genge la wahalifu la Kizayuni" kwa shambulio lake la kigaidi la siku ya Jumatano iliyopita, ambalo lilipelekea kuuawa mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh mjini Tehran.
-
Onyo la Waziri Mkuu wa Hungary kuhusu uwezekano wa kusambaratika Umoja wa Ulaya
Jul 28, 2024 06:59Waziri Mkuu wa Hungary amekosoa siasa za nje za Umoja wa Ulaya zinazofuata na kuegemea upande wa Marekani na kuonya kuhusu uwezekano wa kujiangamiza umoja huo katika siku zijazo.
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza udharura wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza
Jul 12, 2024 22:43Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza ni mbaya na isiyovumilika.
-
EU: Tuko tayari kuboresha ushirikiano na Iran
Jul 07, 2024 04:07Msemaji wa Umoja wa Ulaya anayehusika na sera ya mambo ya nje na usalama amempongeza Rais mteule wa Iran na kusema umoja huo uko tayari kustawisha ushirikiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Borrell: Umoja wa Ulaya uchague ama vita au Israel
May 25, 2024 07:33Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema EU inapasa kuweka bayana msimamo wake kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) wa kuutaka utawala wa Israel usitishe mara moja mashambulizi yake ya kijeshi mjini Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Waarabu wazipongeza nchi za Ulaya zilizolitambua taifa la Palestina
May 23, 2024 06:58Mataifa ya Kiarabu yamekaribisha hatua ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kutangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina.