Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Umoja wa Ulaya wakerwa na usimamishwaji wa protokali ziada ya NPT

    Umoja wa Ulaya wakerwa na usimamishwaji wa protokali ziada ya NPT

    Feb 26, 2021 04:20

    Umoja wa Ulaya umetoa taarifa ukibainisha kutoridhishwa kwake na uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuanza kutekeleza sheria iliyopitishwa na Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) kwa ajili ya kusimamisha utekelezaji wa protokali ziada ya mkataba wa NPT.

  • Borrell akiri kuwa Iran inafungamana na mapatano ya JCPOA na kwamba Ulaya ndio inayoyakiuka

    Borrell akiri kuwa Iran inafungamana na mapatano ya JCPOA na kwamba Ulaya ndio inayoyakiuka

    Feb 24, 2021 08:08

    Baada ya kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) zimekuwa na utendajikazi hasi katika uga wa kulinda mapatano hayo na pia katika kutekeleza ahadi zao. Hii ni Katika hali ambayo Iran imetekeleza ahadi zake kikamilifu katika mapatano ya JCPOA. Hivi sasa afisa wa ngazi za juu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya amekiri ukweli huo.

  • Caracas yajibu vikwazo vya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Venezuela

    Caracas yajibu vikwazo vya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Venezuela

    Feb 23, 2021 09:40

    Viongozi wa Caracas wamelaani "vita vya kiuchumi vya pande kadhaa" za Umoja wa Ulaya na Marekani dhidi ya Venezuela.

  • Russia yatishia kukata uhusiano na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo vipya

    Russia yatishia kukata uhusiano na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo vipya

    Feb 12, 2021 08:15

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa nchi hiyo iko tayari kukata uhusiano wake na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo zaidi vinavyotishia uchumi wake kutokana na mizozo inayoendelea baina ya pande hizo mbili baada ya kufungwa jela mpinzani wa serikali ya Moscow, Alexei Navalny na ukandamiza wa maandamano yaliyoanzishwa na waungaji mkono wake.

  • EU yapinga bomoabomoa ya nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na Israel

    EU yapinga bomoabomoa ya nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na Israel

    Feb 10, 2021 03:33

    Msemaji wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) ametoa taarifa akipinga vikali operesheni ya kuboa nyumba za raia wa Palestina inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • EU: Diplomasia ichukue nafasi ya mashinikizo ya kiwango cha juu

    EU: Diplomasia ichukue nafasi ya mashinikizo ya kiwango cha juu

    Feb 05, 2021 08:18

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema 'diplomasia ya kiwango cha juu' inapaswa kuchukua nafasi ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu.'

  • EU na US kufanya mkutano wa kujaribu kuinusuru JCPOA

    EU na US kufanya mkutano wa kujaribu kuinusuru JCPOA

    Jan 29, 2021 04:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema mazungumzo baina ya nchi za Ulaya na Marekani kuhusu kurejea Washington katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yataanza hivi karibuni.

  • Wasi wasi wa viongozi wa Ankara kuhusu kuharibika uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Ulaya

    Wasi wasi wa viongozi wa Ankara kuhusu kuharibika uhusiano wa Uturuki na Umoja wa Ulaya

    Jan 24, 2021 22:59

    Licha ya kuongezeka kila siku hitilafu baina ya Uturuki na Umoja wa Ulaya lakini bado viongozi wa Ankara wanafuatilia juhudi za kupewa uanachama katika umoja huo.

  • Ulaya yazidi kulemewa na janga la maambukizi ya corona, hatua kali zashadidishwa

    Ulaya yazidi kulemewa na janga la maambukizi ya corona, hatua kali zashadidishwa

    Jan 24, 2021 04:48

    Serikali za Ulaya zimeshadidisha hatua kali na vizuizi mbalimbali ili kukabiliana na kuenea maambukizi ya corona barani humo.

  • EU yaitaka serikali ya Biden isipoteze muda, iokoe JCPOA

    EU yaitaka serikali ya Biden isipoteze muda, iokoe JCPOA

    Jan 21, 2021 01:01

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ameutaka utawala ujao nchini Marekani wa Joe Biden uokoe muda kwa kujiunga upya na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, badala ya kutaka kufanyike mazungumzo mapya juu ya mapatano hayo ya kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS