-
"Njia sahihi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo, ni Ulaya kufungamana na JCPOA"
Feb 16, 2020 04:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inataraji kuwa nchi za Ulaya zitafungamana na ahadi zake kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama zilizovyoahidi, na kwamba hatua hiyo ndiyo njia pekee na sahihi ya kuyapatia ufumbuzi matatizo yaliyopo.
-
Ukosoaji wa Umoja wa Ulaya dhidi ya mpango wa Marekani wa 'Muamala wa Karne'
Feb 06, 2020 03:50Wiki moja baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuzindua mpango unaotajwa kuwa 'Muamala wa Karne,' kuhusiana na mzozo wa Palestina na utawala haramu wa Israel, Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa taarifa akisema kuwa mpango huo unakinzana wazi na mikataba ya kimataifa na kutambua rasmi utawala wa Israel juu ya ardhi zilizoghusubiwa na utawala huo mwaka 1967.
-
EU yapinga njama za Trump dhidi ya Wapalestina
Feb 05, 2020 01:16Umoja wa Ulaya umepinga mpango uliopendekezwa na Rais Donald Trump wa Marekani ambao unakandamiza haki za taifa la Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne" ukisisitiza kuwa, mpango huo unakanyaga sheria za kimataifa.
-
Msimamo mkali wa Boris Johnson katika mazungumzo na Umoja wa Ulaya
Feb 04, 2020 21:44Baada ya Uingereza kujitoa rasmi katika Umoja wa Ulaya tarehe 31 ya mwezi uliopita wa Januari, filihahi suala muhimu yaani mazungumzo baina ya London na Brussels kuhusiana na utambulisho na muundo wa uhusiano wa pande mbili katika kipindi cha baada ya Brexit ndilo linalojadiliwa sasa.
-
Mkuu mpya wa Sera za Kigeni wa EU kuitembelea Iran kwa mara ya kwanza
Feb 02, 2020 03:55Mkuu mpya wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya anatazamiwa kuwasili hapa mjini Tehran kesho Jumatatu, kujadili masuala yenye umuhimu kwa pande mbili na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Indhari ya Umoja wa Ulaya kuhusu kutofikiwa makubaliano ya kibiashara na Uingereza katika kipindi cha baada ya Brexit
Jan 28, 2020 21:57Suala la mpango wa Uingereza wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya (Brexit) linahesabiwa kuwa daghadagha muhimu zaidi ya wananchi wa Uingereza.
-
Zarif aziasa nchi za Ulaya kusimama kidete mkabala wa vitisho vya Trump
Jan 22, 2020 09:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Marekani ya kutoa vitisho vipya vya kuziwekea nchi za Ulaya ushuru mpya wa kibishara inadhihirisha kuwa, kutumbukia nchi za EU kwenye mtego wa Rais Donald Trump kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kumekuwa na maslahi zaidi kwa kiongozi huyo wa Marekani na sio kwa nchi hizo za Ulaya.
-
EU: Mazungumzo ya kisiasa ndiyo njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya
Jan 20, 2020 20:47Mkuu wa Kamisheni ya Ulaya na Mkuu wa Sera za Kigeni wa umoja huo wamesema kuwa, njia pekee ya kutatua mgogoro wa Libya ni mazungumzo ya kisiasa.
-
Iran yasema ikilazimu, itaangalia upya ushirikiano wake na IAEA
Jan 19, 2020 04:34Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezionya nchi za Ulaya kuwa, Tehran italazimika kuangalia upya ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) iwapo EU itaendelea kuchukua hatua zisizo za kiadilifu juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Pendekezo la mazungumzo mapya ya nyuklia linaonesha udhaifu wa Ulaya
Jan 18, 2020 04:07Balozi wa Iran mjini Paris amesema pendekezo la kutaka kufanyika mazungumzo mapya kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran linaonesha udhaifu wa Ulaya na ni dhihirisho wazi kuwa nchi hizo zina uepesi wa kuvunja mapatano.