Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Umoja wa Ulaya: Hakuna mbadala wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Umoja wa Ulaya: Hakuna mbadala wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 14, 2020 23:20

    Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya ametangaza kuwa hakuna mbadala wowote wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Madai ya Umoja wa Ulaya kwamba eti umefungamana na mapatano ya JCPOA

    Madai ya Umoja wa Ulaya kwamba eti umefungamana na mapatano ya JCPOA

    Jan 12, 2020 08:21

    Umoja wa Ulaya, ambao Mkuu wake wa Siasa zake za Nje wakati yalipofikiwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA alikuwa ni Federica Mogherini, aliyeongoza timu ya umoja huo katika mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi kufikiwa mwafaka kati ya Tehran na kundi la 5+1, unajulikana kama moja ya waungaji mkono wa JCPOA.

  • UK: Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    UK: Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 11, 2020 04:32

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza alisema jana Ijumaa baada ya kikao cha dharura cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels Ubelgiji kwamba, nchi yake pamoja na Umoja wa Ulaya wataendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ulaya yapinga ombi la Trump la kujiondoa JCPOA

    Ulaya yapinga ombi la Trump la kujiondoa JCPOA

    Jan 11, 2020 01:21

    Umoja wa Ulaya sambamba na nchi tatu za Ulaya za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zinazojulikana kama Troika ya Ulaya, ni waungaji mkono wa mapatano ya kimataifa ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Mawaziri wanne wa Ulaya kutembelea Libya

    Mawaziri wanne wa Ulaya kutembelea Libya

    Dec 28, 2019 23:23

    Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya imetangaza kuwa, mawaziri wa mambo ya nje wa Italia, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wanatazamiwa kutembelea mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.

  • Hali ya kusikitisha na kushtua inayowakabili watoto na wanawake wahajiri nchini Ugiriki

    Hali ya kusikitisha na kushtua inayowakabili watoto na wanawake wahajiri nchini Ugiriki

    Dec 28, 2019 09:22

    Gazeti la Daily Mail limeripoti kuwa maelfu ya wanawake na watoto wanakabiliwa na hali ya kusikitisha katika kisiwa kimoja huko Ugiriki.

  • Luxembourg yaiandikia barua EU kuhusu kutambuliwa rasmi taifa la Palestina

    Luxembourg yaiandikia barua EU kuhusu kutambuliwa rasmi taifa la Palestina

    Dec 09, 2019 23:50

    Luxembourg imeuandikia barua Umoja wa Ulaya, ikiutaka umoja huo uitambue rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Trump, changamoto kubwa zaidi kwa Umoja wa Ulaya

    Trump, changamoto kubwa zaidi kwa Umoja wa Ulaya

    Nov 30, 2019 01:01

    Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa za upande mmoja na kuiondoa nchi hiyo katika mitakaba muhimu ya kimataifa, kinyume kabisa na matarajio na mitazamo ya Umoja wa Ulaya na hivyo kupanua pengo la tofauti kati ya pande hizo mbili za Bahari ya Atlantiki.

  • Araqchi: Kubakia hai JCPOA kutategemea jitihada za EU

    Araqchi: Kubakia hai JCPOA kutategemea jitihada za EU

    Nov 30, 2019 00:59

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuyanusuru na kuyabakisha hai makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutategemea na jitihada za Umoja wa Ulaya na kutekeleza kwao majukumu yao kwa mujibu wa mapatano hayo.

  • Algeria yalaani taarifa ya Bunge la Ulaya, yasema inaingilia masuala yake ya ndani

    Algeria yalaani taarifa ya Bunge la Ulaya, yasema inaingilia masuala yake ya ndani

    Nov 29, 2019 05:55

    Serikali ya Algeria imelaani vikali taarifa iliyotolewa na Bunge la Ulaya kuhusu hali ya ndani ya nchi hiyo ikisisitiza kuwa hatua hiyo ni kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS