-
Bunge la Ulaya lailaani serikali ya Misri kwa kukiuka haki za binadamu
Oct 24, 2019 23:21Bunge la Ulaya linalokutana Strasbourg nchini Ufaransa limepasisha azimio la kuilaani serikali ya Misri kutokana na ukiukaji wake wa haki za binadamu.
-
"Nchi za Ulaya hazina muamana, zinashirikiana na Marekani kuishinikiza Iran"
Oct 20, 2019 04:16Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema nchi za Ulaya hazina muamana na zimeshindwa kutekeleza wajibu wao kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kufikiwa makubaliano kati ya Umoja wa Ulaya na Uingereza kuhusiana na Brexit
Oct 18, 2019 03:47Mpango wa Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit na namna ya kutekelezwa mpango huo umegeuka na kuwa tatizo kubwa baina ya London na Brussels ambapo hata viongozi wa ngazi juu wa Uingereza kama Boris Johnson, Waziri Mkuu wa nchi hiyo alikuwa amesisitiza juu ya nchi yake kujiondoa katika umoja huo ifikapo tarehe 31 ya mwezi huu wa Oktoba iwe ni kwa kufikiwa makubalioano ya pande mbili au hata bila ya kufikiwa makubaliano yoyote.
-
Marekani, EU: Tunawaunga mkono mabaradhuli wa Uganda
Oct 12, 2019 04:35Marekani na nchi za Ulaya zimetiwa kiwewe na azma ya Uganda ya kutoa adhabu ya kifo kwa watu watakaopatikana na hatia ya kushiriki vitendo vya ubaradhuli nchini humo.
-
Kuendelea mkwamo wa Brexit baina ya Uingereza na Umoja wa Ulaya
Oct 09, 2019 08:51Mpango wa Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit umegeuka na kuwa tatizo lisilo na ufumbuzi kwani licha ya mazungumzo kadha wa kadha baina ya viongozi wa serikali ya kihafidhina ya London na maafisa wa Umoja wa Ulaya, lakini bado hakujapatikana njia ya kulipatia ufumbuzi suala hilo.
-
Ujerumani yatahadharisha kuhusu kukaririwa mgogoro wa wahajiri barani Ulaya
Oct 08, 2019 23:38Horst Seehofer Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani alitahadharisha jana katika kikao cha Mawaziri wa Nchi za Ulaya huko Brussels kuwa, kuna uwezekano wa kukaririwa mgogoro wa wahajiri barani Ulaya kama ule ulioshuhudiwa mwaka 2015.
-
Kushirikiana Marekani na Ulaya kuiwekea mashinikizo Uturuki baada ya kugundua gesi
Oct 07, 2019 23:47Uhusiano wa Uturuki na Marekani hasa baada ya kufeli jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 15 Julai 2016, umeendelea kugubikwa na mizozo mingi.
-
Iran kuendelea kupunguza uwajibikaji wake kwa JCPOA
Oct 06, 2019 04:34Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa, awamu ya nne ya kupunguza Iran kutekeleza ahadi zake ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA itaanza kutekelezwa mwezi ujao kama ilivyopangwa na kwamba kwa sasa hakuna kituo chochote kilichobadilika.
-
Umoja wa Ulaya wataka faili la mauaji ya Khashoggi lifuatiliwe
Oct 03, 2019 00:45Umoja wa Ulaya umetoa taarifa ukisisitiza udharura na umuhimu wa kufuatiliwa faili la mauaji ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.
-
Nchi nyingine 8 za Ulaya zajiunga na mfumo wa INSTEX
Oct 01, 2019 04:29Afisa msaidizi wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema nchi 8 zaidi za Ulaya zimejiunga rasmi na mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX).