Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Papa azikosoa nchi zinazouza silaha na kuwafukuza wakimbizi

    Papa azikosoa nchi zinazouza silaha na kuwafukuza wakimbizi

    Sep 30, 2019 04:15

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema mashindano ya kuuza silaha yanayofanywa na nchi fulani duniani ndiyo sababu ya ghasia na mauaji ya watu wakiwemo watoto wadogo katika nchi zinazoshuhudia vita katika kona mbalimbali duniani.

  • Nchi za Ulaya zatishia kujiondoa kwenye makubaliano ya JCPOA

    Nchi za Ulaya zatishia kujiondoa kwenye makubaliano ya JCPOA

    Sep 28, 2019 08:06

    Nchi za Ulaya zimetishia kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA iwapo Iran eti haitafungamana kikamilifu na mapatano hayo.

  • Nchi za EU zatiwa wasiwasi na ukiukaji wa haki za binadamu Saudia

    Nchi za EU zatiwa wasiwasi na ukiukaji wa haki za binadamu Saudia

    Sep 24, 2019 04:34

    Nchi 15 wanachama wa Umoja wa Ulaya zimeeleza wasiwasi mkubwa zilionao kutokana na rekodi mbaya ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia.

  • Zarif na Mogherini wajadili njia za kuinusuru JCPOA

    Zarif na Mogherini wajadili njia za kuinusuru JCPOA

    Sep 24, 2019 04:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javaad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini na wawili hao wamejadili njia za kulinda na kudumisha makubaliano ya JCPOA.

  • Salehi: JCPOA sio mkataba wa upande mmoja, EU imefeli

    Salehi: JCPOA sio mkataba wa upande mmoja, EU imefeli

    Sep 08, 2019 07:43

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA sio mapatano ya upande mmoja, na kwamba nchi za Ulaya zimefeli kutekeleza wajibu wao wa kuyalinda mapatano hayo ya kimataifa.

  • Kushindwa tena Johnson katika bunge la Uingereza na mustkabali usiojulikana wa Brexit

    Kushindwa tena Johnson katika bunge la Uingereza na mustkabali usiojulikana wa Brexit

    Sep 06, 2019 07:47

    Suala la kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya, Brexit, sasa limebadilika na kuwa maudhui muhimu zaidi katika siasa za ndani na nje za nchi hiyo.

  • Kushadidi makabiliano baina ya Boris Johnson na wapinzani wake kuhusiana na Brexit

    Kushadidi makabiliano baina ya Boris Johnson na wapinzani wake kuhusiana na Brexit

    Sep 03, 2019 22:08

    Kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brexit) limegeuka na kuwa suala muhimu hivi sasa katika siasa za ndani na za nje za London.

  • Sisitizo la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa EU juu ya kulinda makubaliano ya JCPOA na kuimarisha usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Sisitizo la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa EU juu ya kulinda makubaliano ya JCPOA na kuimarisha usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Aug 31, 2019 07:40

    Umoja wa Ulaya pamoja na Troika ya Ulaya zikiwa wanachama wa kundi la 4+1 mara kadhaa zimesisitiza kuwa kuna udharura wa kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na wakati huo huo kurejesha uthabiti na usalama katika Ghuba ya Uajemi kwa kuzingatia chokochoko za Marekani katika eneo hilo la maji lenye umuhimu wa kijio-stratejia.

  • EU yasisitiza kupatiwa ufumbuzi mzozo wa Kashmir kwa njia ya kisiasa

    EU yasisitiza kupatiwa ufumbuzi mzozo wa Kashmir kwa njia ya kisiasa

    Aug 28, 2019 08:04

    Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuwa utatuzi wa kisiasa ndio njia pekee inayoweza kumalizika hitilafu katika eneo la Kashmir kati ya India na Pakistan.

  • Nchi za Ulaya zaanza kuchunguza hatua za kupambana na Trump

    Nchi za Ulaya zaanza kuchunguza hatua za kupambana na Trump

    Aug 23, 2019 03:14

    Umoja wa Ulaya umeanza kujadili mpango wa kupambana na rais wa Marekani, Donald Trump anayeendesha siasa chafu za kibiashara dhidi ya nchi za Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS