-
Ufaransa na Ujerumani kuwa wenyeji wa mfumo wa ubadilishanaji fedha na Iran
Nov 27, 2018 04:26Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Ulaya wameliambia gazeti la Wall Street Journal kuwa huenda Ufaransa na Ujerumani zikawa wenyeji wa mfumo maalumu wa ubadilishanaji fedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaojulikana kama SPV, kwa shabaha ya kukwepa vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran.
-
Salehi: Msimamo wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA si wa maana
Nov 26, 2018 23:11Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa msimamo wa Mrekani wa kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA si wa maana na ni kwamba, msimamo huo unaonesha jinsi Marekani isivyo na mwamana katika ahadi zake za kimataifa.
-
Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran
Nov 24, 2018 08:18Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea tena Iran vikwazo imepingwa vikali na nchi nyingine wanachama wa makubaliano hayo ya JCPOA yaani kundi la 4+1.
-
Taasisi ya EU yapiga kura ya kutaka kususiwa Vyuo Vikuu vya Israel
Nov 23, 2018 04:32Taasisi moja ya akademia ya Umoja wa Ulaya imepasisha kwa wingi wa kura muswada wa kutaka kususiwa Vyuo Vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu za utawala haramu wa Israel ambazo ziko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Je, kurejea balozi wa Denmark Tehran kutakuwa mwisho wa uzushi dhidi ya Iran?
Nov 21, 2018 04:07Baada ya propaganda na uzushi kuhusu madai ya kuwepo mpango wa kumuaa kinara wa tawi la Denmark la kundi la kigaidi linalojiita Al Ahvaziya, balozi wa Iran nchini Denmark ametangaza kuwa, balozi wa nchi hiyo anarejea Tehran leo Jumatano ili kuendelea na kazi zake za kawaida.
-
Mogherini ahimiza kutekelezwa haraka njia mpya ya mabidilishano ya fedha baina ya Iran na Ulaya
Nov 20, 2018 00:17Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, kuna udharura wa kuanza kutekelezwa haraka njia mpya ya mabadilisho ya fedha baina ya Iran na Umoja wa Ulaya.
-
Jitihada za nchi za Umoja wa Ulaya katika kulinda JCPOA
Nov 19, 2018 09:32Katika mwendelezo wa jitihada za nchi za Ulaya za kulinda mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, (JCPOA) Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Jeremy Hunt leo amefika mjini Tehran na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa Iran.
-
Umoja wa Ulaya waitaka Saudi Arabia iweke wazi kikamilifu kuhusu mauaji ya Khashoggi
Nov 18, 2018 10:44Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameitaka Saudi Arabia kuweka wazi kikamilifu mauaji ya mwandishi habari mkosoaji wa Saudia.
-
Hatua mpya katika mkondo wa Uingereza kujiondoa Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit
Nov 15, 2018 23:07Suala ya Uingereza kujiondoa katika Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit ni tukio muhimu zaidi la kisiasa nchini Uingereza katika kipindi cha miaka miwili sasa. Kadhia hiyo imekuwa na taathira za ndani ya nchi, kieneo na kimataifa.
-
EU: Makubaliano ya nyuklia ya Iran hayana chaguo jengine mbadala
Nov 15, 2018 04:34Kamishna wa Umoja wa Ulaya wa Uadilifu, amesema hakuna chaguo jengine lolote mbadala na lenye itibari kwa ajili ya makubaliano ya nyuklia ya Iran, JCPOA.