Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Ulaya

  • Russia yaitaka Ulaya iache vitisho dhidi ya Iran

    Russia yaitaka Ulaya iache vitisho dhidi ya Iran

    Mar 05, 2025 22:59

    Russia imekosoa vikali vitisho vya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vya kuamilisha mchakato wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kutaja msimamo huo kuwa wa "kutowajibika" na "ulio kinyume cha sheria".

  • EU: Hatuwezi kuficha wasiwasi tulionao kuhusu matukio yanayojiri Ufukwe wa Magharibi, Palestina

    EU: Hatuwezi kuficha wasiwasi tulionao kuhusu matukio yanayojiri Ufukwe wa Magharibi, Palestina

    Feb 25, 2025 06:15

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema, umoja huo hauwezi kuficha wasiwasi ulionao kuhusu matukio yanayojiri katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kwamba mzozo wa Palestina na Israel hauna ufumbuzi mwingine isipokuwa suluhu ya kuundwa mataifa mawili.

  • Mzozo wa DRC: Bunge la Rwanda lalaani azimio la EU dhidi yake

    Mzozo wa DRC: Bunge la Rwanda lalaani azimio la EU dhidi yake

    Feb 22, 2025 08:28

    Bunge la Rwanda limekosoa vikali azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya, likidai kuwa Rwanda linahusika na mzozo na machafuko yanayoendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Wafanyakazi wa EU walalamikia Brussels kuiunga mkono Israel

    Wafanyakazi wa EU walalamikia Brussels kuiunga mkono Israel

    Feb 22, 2025 08:17

    Makumi ya wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya wamekusanyika Brussels, mji mkuu wa Ubelgiji, kulalamikia uungaji mkono wa jumuiya hiyo kwa utawala wa Israel.

  • China yaiambia G20: Lazima dunia iisikilize Afrika, iyape uzito masuala yanayoitia wasiwasi

    China yaiambia G20: Lazima dunia iisikilize Afrika, iyape uzito masuala yanayoitia wasiwasi

    Feb 22, 2025 02:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema, lazima dunia isikilize "kile Afrika inachosema" na kuuchukulia wasiwasi ilionao Afrika "kwa uzito". Wang ameyasema hayo katika hotuba yake mbele ya hadhara ya washiriki wa mkutano wa Kundi la Mataifa 20 (G20) unaofanyika mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini.

  • Wabunge EU: Ulaya haiwezi kuendelea kuitegemea Marekani

    Wabunge EU: Ulaya haiwezi kuendelea kuitegemea Marekani

    Feb 19, 2025 08:34

    Wabunge wa Bunge la Ulaya wamesema bara hilo haliwezi kuendelea kuitegemea kikamilifu Marekani kwa ulinzi; na kutoa wito wa kuimarisha uwezo wa kiulinzi wa Ulaya sambamba na kuendelea kuiunga mkono Ukraine.

  • Mahathir azikosoa EU, US kwa mauaji ya kimbari Gaza, asema 'Ustaarabu umefeli'

    Mahathir azikosoa EU, US kwa mauaji ya kimbari Gaza, asema 'Ustaarabu umefeli'

    Feb 15, 2025 03:46

    Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amekosoa vikali uungaji mkono wa Marekani na Umoja wa Ulaya kwa Israel akisisitiza kuwa, kuunga mkono kwa hali na mali mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza ni jambo la 'kuchukiza na kukirihisha.'

  • Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel

    Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel

    Feb 05, 2025 23:02

    Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Wapalestina.

  • Afkham: Azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Iran halina msingi wa kisheria

    Afkham: Azimio la Bunge la Ulaya dhidi ya Iran halina msingi wa kisheria

    Jan 25, 2025 07:51

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Haki za Binadamu na Masuala ya Wanawake ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema azimio lililopasishwa hivi karibuni na Bunge la Ulaya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu halina msingi wowote wa kisheria na linaonyesha tabia ya uingiliaji ya chombo hicho.

  • Viongozi wa Ulaya waendelea kudhihirisha sura zao za kinafiki, mara hii kuhusu Gaza na Marekani

    Viongozi wa Ulaya waendelea kudhihirisha sura zao za kinafiki, mara hii kuhusu Gaza na Marekani

    Jan 03, 2025 00:16

    Viongozi wa nchi za Ulaya, wameendelea kuonyesha sura zao za kinafiki, kwa kukaa kimya kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza, huku wakikimbilia kutuma ujumbe wa rambirambi kutokana na hujuma ya gari iliyotokea Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS