Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

utawala wa Aal Khalifa

  • Utawala wa Aal Khalifa unaratibu mipango ya kuwauwa viongozi wanamapinduzi

    Utawala wa Aal Khalifa unaratibu mipango ya kuwauwa viongozi wanamapinduzi

    Jul 01, 2018 09:28

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya al Amal ya Bahrain ameeleza kuwa utawala wa Aal Khalifa unaratibu mipango ya kuwauwa viongozi wanamapinduzi wa nchi hiyo.

  • Al Wifaq: Utawala wa Bahrain unahusika na kuharibika afya ya Sheikh Issa Qassim

    Al Wifaq: Utawala wa Bahrain unahusika na kuharibika afya ya Sheikh Issa Qassim

    Jun 25, 2018 23:50

    Jumuiya ya Kiislamu ya al Wifaq ya Bahrain imetoa taarifa na kutangaza kuwa utawala wa Bahrain ukiongozwa na mfalme wa nchi hiyo kwa pamoja wanahusika katika kuwa mbaya hali ya kiafya ya Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mtajika wa nchi hiyo.

  • Utawala wa Aal-Khalifa wawazuia wafungwa kushiriki ibada za mwezi wa Ramadhani

    Utawala wa Aal-Khalifa wawazuia wafungwa kushiriki ibada za mwezi wa Ramadhani

    Jun 06, 2018 10:12

    Taasisi ya 'Amani kwa ajili ya Demokrasia na Haki za Binaadamu' nchini Bahrain imetangaza kwamba, utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa umewaweka wafungwa wa kisiasa nchini humo katika seli za mtu mmoja kwa kosa la kujumuika pamoja kwenye ibada za mikesha ya Lailatul-Qadr.

  • Jumuiya ya Haki za Binadamu Bahrain: Sheria ya kupambana na ugaidi ni wenzo wa kuwakandamiza raia

    Jumuiya ya Haki za Binadamu Bahrain: Sheria ya kupambana na ugaidi ni wenzo wa kuwakandamiza raia

    May 17, 2018 23:48

    Jumuiya ya Haki za Binaadamu nchini Bahrain imesema kuwa, sheria ya kupambana na ugaidi inayotekelezwa nchini humo ni wenzo unaotumiwa na utawala wa Aal Khalifa kwa ajili ya kuwakandamiza raia wasio na hatia.

  • Al-Wefaq ya Bahrain: Hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kujipendekeza kwa Israel inatia aibu

    Al-Wefaq ya Bahrain: Hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kujipendekeza kwa Israel inatia aibu

    May 12, 2018 22:18

    Harakati ya Kitaifa ya Al-Wefaq ya nchini Bahrain imesema kuwa, matamshi ya Khalid bin Ahmed Al Khalifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain katika kuunga mkono utawala haramu wa Kizayuni, ni ya kufedhehesha na anatakiwa kuliomba radhi taifa sambamba na kujiuzulu.

  • Utawala wa Bahrain wawahukumu watu sita adhabu ya kifo kwa tuhuma bandia

    Utawala wa Bahrain wawahukumu watu sita adhabu ya kifo kwa tuhuma bandia

    Apr 25, 2018 23:16

    Mahkama ya rufaa ya kijeshi nchini Bahrain, imetoa hukumu ya adhabu ya kifo dhidi ya raia sita wa nchi hiyo kwa tuhuma bandia kwamba walijaribu kupanga shambulizi dhidi ya kamanda wa vikosi vya ulinzi nchini humo.

  • Al Wifaq yasisitiza kuachiwa huru wanawake wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa

    Al Wifaq yasisitiza kuachiwa huru wanawake wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa

    Apr 12, 2018 02:47

    Jumuiya ya Kiislamu ya al Wifaq ya nchini Bahrain imetaka kuachiwa huru wanawake waliofungwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa ambao walitiwa mbaroni kwa sababu tu ya kuwasilisha maoni na fikra zao.

  • Kwa wiki ya 85 mtawalia utawala wa Bahrain wazuia kusaliwa Sala ya Ijumaa eneo la Ad Diraz

    Kwa wiki ya 85 mtawalia utawala wa Bahrain wazuia kusaliwa Sala ya Ijumaa eneo la Ad Diraz

    Mar 03, 2018 01:09

    Askari wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain jana walizuia kwa wiki ya 85 mtawalia kusaliwa Sala kubwa zaidi ya Ijumaa ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika eneo la Ad Diraz.

  • Nabeel Rajab ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela nchini Bahrain

    Nabeel Rajab ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela nchini Bahrain

    Feb 22, 2018 00:59

    Nabeel Rajab, mwanaharakati mashuhuri wa masuala ya haki za binadamu nchini Bahrain amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kile kilichoelezwa kwamba, ni kupatikana na hatia ya uchochezi na jumbe za kukosoa utawala wa nchi hiyo.

  • Wanamapinduzi wa Bahrain wasisitiza kuhitimishwa enzi za utawala uliooza wa Aal Khalifa

    Wanamapinduzi wa Bahrain wasisitiza kuhitimishwa enzi za utawala uliooza wa Aal Khalifa

    Feb 15, 2018 04:51

    Kiongozi mmoja wa harakati ya Muungano wa Vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 ya Bahrain amesema: Wanamapinduzi watapinga mpango wowote ule utakaolenga kuubakisha madarakani utawala wa Aal Khalifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS