-
Mwanamfalme: Haki za binadamu zinakanyagwa sana Saudia
Nov 08, 2017 15:23Khalid bin Farhan Al Saud, Mwanamfalme ambaye amejitenga na utawala wa Aal-Saud, amesema kuwa kabla ya kuomba hifadhi ya kisiasa nchini Ujerumani, kwa muda mrefu alikuwa akiishi kwa wasiwasi na mashaka mengi nchini Saudia.
-
Harakati ya Septemba 15 yautia kiwewe utawala wa Aal Saud; wamwomba Mufti wake aitolee fatua
Sep 15, 2017 07:56Utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia umekimbilia kwa Mufti Mkuu wa nchi hiyo katika hatua ya kuzuia maandamano ya amani ya upinzani yaliyoitishwa na Harakati ya Septemba 15 kufanyika nchini humo hii leo.
-
Muungano wa Februari 14: Mahakama za Saudia hazina tofauti na utendaji wa Daesh
Aug 13, 2017 03:55Muungano wa Februari 14 nchini Bahrain umelaani hukumu za kidhalimu zinazotolewa na mahakama za utawala wa Saudia dhidi ya wasomi wa kidini na kutangaza kuwa, hazina tofauti yoyote na mahakama za kundi la kigaidi la Daesh.
-
Israel: Wakati wa kuwekwa wazi mahusiano yetu na Saudia, umewadia
Jul 25, 2017 08:17Gazeti la utawala haramu wa Israel limezungumzia mahusiano yaliyopo baina ya Israel na Saudi Arabia na kuandika kuwa sasa umewadia wakati wa kutangazwa wazi mahusiano ya pande mbili hizo.
-
Kuongezeka changamoto za Saudia Arabia kutokana na siasa zake mbovu
Jun 29, 2017 04:10Habari zinaeleza kuongezeka kwa changamoto zinazoikabili Saudi Arabia kutokana na siasa mbovu na za kichokozi zinazotekelezwa na watawala wa nchi hiyo katika eneo.
-
Mohsen Rezaee: Ni miaka 40 sasa ambapo Aal-Saud wanaendesha njama chafu dhidi ya Iran
Jun 15, 2017 04:37Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran, Mohsen Rezaee amesema kuwa, watawala wa Aal-Saud nchini Saudia walidhihirisha uadui na chuki yao dhidi ya raia wa taifa la Iran tangu miaka 40 iliyopita na kwamba, kila mara kumekuwa kukifichuliwa njama zao chafu dhidi ya taifa hili.
-
Utumiaji wa dini kwa malengo ya kisiasa, sura ya pamoja ya utawala wa Aal Saud na Israel
Jun 13, 2017 07:56Moja kati ya mambo yanayozikutanisha pamoja tawala za Aal Saudi huko Saudi Arabia na ule wa Kizayuni wa Israel ni kutumia dini, ibada na maeneo ya kidini kwa ajili ya kufikia malengo ya kisiasa.
-
Ansarullah Yemen: Saudia inataka kuwa polisi wa Marekani katika Mashariki ya Kati
Jun 08, 2017 02:26Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia umekuwa ukifanya kila uwezalo ili uwe polisi ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati na uwe ukizichukulia maamuzi tawala zote za Kiarabu.
-
Kushadidi ukandamizaji na utumiaji mabavu wa utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia
Jun 04, 2017 07:31Ripoti kutoka Saudi Arabia zinaonyesha juu ya kuanza duru mpya ya mashambulio na hujuma za utawala wa Aal Saud dhidi ya wananchi wa nchi hiyo.
-
Kuendelea mauaji dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia
May 19, 2017 07:38Vyombo vya habari vimeripoti habari ya kuuawa kijana mmoja nchini Saudi Arabia kufuatia hujuma ya jeshi la utawala wa Aal Saud katika kijiji cha al-Awamiyah mashariki mwa nchi hiyo.