-
Kuendelea mauaji dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia
May 19, 2017 03:08Vyombo vya habari vimeripoti habari ya kuuawa kijana mmoja nchini Saudi Arabia kufuatia hujuma ya jeshi la utawala wa Aal Saud katika kijiji cha al-Awamiyah mashariki mwa nchi hiyo.
-
Askari wa Saudia waendeleza ukandamizaji katika maeneo ya Waislamu wa Shia, mashariki mwa nchi
May 12, 2017 22:03Askari wa utawala wa Saudia wameendeleza ukandamizaji na jinai mbalimbali katika eneo la Al-Awamia, mashariki mwa nchi, ikiwa ni pamoja na kuyatia moto makazi ya raia na kushadidisha mzingiro katika eneo hilo.
-
UN yaionya Saudia dhidi ya kushambulia kwa mabomu bandari ya Yemen
Apr 20, 2017 09:43Umoja wa Mataifa umeutaka muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia usishambulie kwa mabomu bandari ya kistaratejia ya Yemen.
-
Yemen: Tumeorodhesha jinai zote za Saudia ili kuziwasilisha mahakama za kimataifa
Apr 14, 2017 21:59Mwendesha mashtaka mkuu nchini Yemen amesema kuwa, jinai za Aal Saud inazozifanya nchini humo kupitia mashambulizi yake ya kila upande, zimeorodheshwa kwa ajili ya kuwasilishwa katika mahakama za kimataifa.
-
Kugharamika kijeshi Aal Saud na kubebeshwa raia mzigo wa kubana gharama za kiuchumi
Nov 10, 2016 03:36Saudi Arabia inaendelea kutumia gharama kubwa za fedha kwa ajili ya sera za kijeshi huku ikiamua kutekeleza sera ya kubana matumizi kiuchumi katika sekta za ujenzi na ushughulikiaji hali za maisha ya raia.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu waandamana Ubelgiji dhidi ya Aal Saud
Oct 31, 2016 00:55Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameandamana mbelel ya ubalozi wa Saudi Arabia huko Brussels mji mkuu wa Ubelgiji kulalamikia na kupinga jinai za utawala wa Aal Saud.
-
Qazi-Askari aukosoa Umoja wa Mataifa kwa kunyamazia jinai za Saudia
Sep 23, 2016 04:47Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Hija ameukosoa vikali Umoja wa Mataifa kutokana na kufumbia kwake macho jinai za utawala wa Saudi Arabia.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa Hija; ukumbusho wa jinai za Aal Saud
Sep 06, 2016 02:14Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatatu alituma ujumbe maalumu kwa mnasaba wa ibada adhimu ya Hija na kueleza kwamba msimu wa Hija kwa Waislamu ni msimu wa kujivunia na wa adhama mbele ya macho ya viumbe; na ni msimu wa kunawirisha nyoyo na kudhihirisha khushuu na unyenyekevu mbele ya Muumba.
-
Sheikh Nabil Qaouk: Saudi Arabia haina ubavu wa kukabiliana na Hizbullah
Aug 08, 2016 23:58Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena amekosoa vikali siasa za kuharibu mambo za utawala wa Saudi Arabia katika Mashariki ya Kati.
-
Ayatullah Kashani: Marekani, Saudia na Israel ni waungaji mkono wakubwa wa ugaidi
Jul 15, 2016 11:37Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa Marekani, Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel ni waungaji mkono wakubwa wa ugaidi duniani.