-
Wazayuni wapatwa na kiwewe cha kwenda Qatar wakati wa fainali za Kombe la Dunia
Nov 17, 2022 22:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umewaonya Wazayuni wasitembelee Qatar au wachukue tahadhari kubwa wakiweko nchini humo wakati wa fainali za Kombe la Dunia.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni hauwezi kubadili utambulisho wa Quds
Nov 16, 2022 22:53Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kubadili utambulisho wa kihistoria wa Quds tukufu.
-
Bunge la wazayuni washupalia vita zaidi katika historia ya Israel laanza kazi rasmi
Nov 16, 2022 22:50Bunge jipya la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel (Knesset) limeanza kazi rasmi huku vyombo vya habari vikilitaja kuwa ni Knesset ya "wenye misimamo mikali zaidi na washupalia vita zaidi" katika historia ya utawala huo.
-
Wazayuni wakasirishwa na uamuzi wa Umoja wa Mataifa wenye maslahi na Wapalestina
Nov 12, 2022 07:58Kamati ya Kupambana na Ukoloni ya Umoja wa Mataifa imepasisha muswada wa Kipalestina ambao ndani yake unataka rai na maoni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusiana na hatua ya utawala wa Kizayuni wa israel ya kuendelea kuikalia kwa mabavu Palestina.
-
Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India
Nov 10, 2022 23:39Shirika la Intelijensia la Qatar limewakamata maafisa wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa India nchini Qatar wanaoshukiwa kufanya ujasusi kwa manufaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Utawala wa Kizayuni wakataa kukabidhi maiti za Wapalestina 10 waliouawa shahidi
Nov 10, 2022 23:37Kamati inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa utawala huo ghasibu unaendelea kuzuia viwiliwili vya Wapalestina kumi waliouawa shahidi.
-
Nguvu za Muqawama; sababu kuu ya kutiwa saini makubalino ya mipaka ya baharini
Nov 10, 2022 05:20Hivi karibuni, Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel zilitiliana saini makubaliano ya mpaka wa baharini kwa upatanishi wa Marekani. Hivi sasa lakini Benjamin Netanyahu anadai kuwa hatoheshimu makubaliao hayo.
-
Ripoti: Tel Aviv inatumia "mbinu za kimafia" dhidi ya makundi ya haki za binadamu ya Palestina
Nov 08, 2022 23:18Shirika la kutetea haki za binadamu la Palestina limesema katika ripoti yake kwa kamati ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kwamba Israel inatumia vitisho na mbinu za kimafia kuyanyamazisha mashirika ya kutetea haki za binadamu.
-
Jordan yaonya kuhusu hatua za Israel za kuzusha mizozo Palestina
Nov 06, 2022 23:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan ameonya kuhusiana na hatua za utawala haramu za Israel za kuzusha mivutano na mifarakano dhidi ya Wapalestina.
-
Amir Abdollahian: Israel ina matatizo chungu nzima ya kiuchumi na kisiasa
Nov 05, 2022 22:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya Palestina kwamba utawala wa Kizayuni hivi sasa una matatizo chungu nzima ya kiuchumi na kisiasa.