-
Amnesty International yataka mataifa ya Ulaya yaisusie kikamilifu Israel
May 22, 2025 09:21Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa wito wa kususiwa kabisa utawala wa Kizayuni wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya bara Ulayaa yanachukua hatua za kuutenga utawala huo kutokana na jinai zake huko Gaza.
-
Kwa nini Uhispania imeongeza mashinikizo dhidi ya Israel?
May 21, 2025 22:48Bunge la Uhispania limepitisha muswada unaoitaka serikali ya nchi hiyo kuacha kuuzia utawala ghasibu wa Israel zana zozote za kijeshi.
-
Kharrazi: Dunia ya kambi moja imeyoyoma, kuna haja ya mazungumzo ya kikanda
May 21, 2025 04:03Mkuu wa Baraza la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesisitiza kuwa mfumo wa kambi moja umeyoyoma na sasa kumeibuka madola yenye nguvu ya kikanda na kusema: "Suluhisho pekee la changamoto za Mashariki ya Kati ni mazungumzo ya moja kwa moja kati ya nchi za eneo hilo bila ya uingiliaji wa madola ya nje ya kanda hiyo."
-
Yair Golan: Vita vya Gaza lazima visitishwe haraka iwezekanavyo
May 14, 2025 03:00Mkuu wa Chama cha Kidemokrasia cha utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka kusimamishwa vita haraka iwezekanavyo dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Muqawama utaendelea hadi ushindi kamili
May 09, 2025 04:09Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema Muqawama utaendelea hadi ushindi kamili utakapopatikana na kuangamizwa kikamilifu utawala ghasibu na vamizi wa Kizayuni wa Israel.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lakiri kuwa askari wake wawili wameangamizwa Ghaza
May 09, 2025 03:50Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa wanajeshi wake wawili wameuawa katika Ukanda wa Ghaza.
-
Vyombo vya usalama vya Israel vyaonya kuhusu kupanua vita Ukanda wa Gaza
May 07, 2025 03:02Vyombo vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewatahadharisha viongozi wa utawala huo kwamba kupanuliwa oparsheni za kijeshi katika Ukanda wa Gaza kutapelekea kuuawa mateka wa Kizayuni wanaoshikkiliwa na wanamapambano wa Kipalestina.
-
Kulaani nchi za Ulaya hatua ya Israel ya kuzuia misaada ya kibinadamu Gaza
May 02, 2025 22:46Huku mashambulizi ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza yakiendelea na hali ya mambo katika eneo hilo kuwa mbaya zaidi, Uhispania, Ubelgiji na Ireland, nchi tatu wanachama wa Umoja wa Ulaya zimekosoa vikali kitendo cha utawala ghasibu wa Israel cha kukiuka usitishaji vita na kuanzisha tena mashambulizi katika Ukanda wa Gaza.
-
Afisa wa Hospitali ya Nasser: Maisha ya maelfu ya watoto katika Ukanda wa Gaza yako hatarini
May 02, 2025 03:55Mkuu wa kitengo cha watoto katika Hospitali ya Nasser iliyoko kusini mwa Gaza ametahadharisha kuhusu kukithiri kwa utapiamlo miongoni mwa watoto katika ukanda huo na hatari inayotishia maisha ya maelfu ya watoto kutokana na siasa za ufashisti za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Katibu Mkuu wa UN: Hali ya maafa katika Ukanda wote wa Ghaza imevuka kiwango cha kutasawirika
Apr 29, 2025 23:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema: "hali ya kibinadamu katika eneo lote la Ukanda wa Ghaza imetoka kwenye hali mbaya na kuwa mbaya zaidi na kuvuka kiwango cha kuweza kutasawirika".