Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Qalibaf: Uhai wa utawala wa Kizayuni unategemea mauaji na jinai

    Qalibaf: Uhai wa utawala wa Kizayuni unategemea mauaji na jinai

    Apr 29, 2025 08:52

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameyataja matamshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni hila isiyo na thamani inayolenga kuvuruga mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani na kusema: "Hata asilimia ndogo ya uchokozi dhidi ya Iran itatambuliwa kuwa ni sawa na kuwasha moto pipa la baruti ambalo litalipua katika eneo hili."

  • Wapalestina wengine 51 wauawa shahidi katika hujuma ya kinyama ya Israel

    Wapalestina wengine 51 wauawa shahidi katika hujuma ya kinyama ya Israel

    Apr 27, 2025 09:05

    Kwa akali Wapalaestina 50 wameuawa shahidi katika mashambulio ya kinyama ya karibuni zaidi kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza huku idadi ya vifo ikiendelea kuongezeka.

  • Waziri Mkuu wa zamani wa Israel akiri juu ya uhaba mkubwa wa askari jeshini

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel akiri juu ya uhaba mkubwa wa askari jeshini

    Apr 27, 2025 04:00

    Naftali Bennet Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa jeshi la utawala huo linakabiliwa na uhaba mkubwa wa askari jeshini.

  • Mhariri Mkuu wa Middle East Eye: Harakati ya HAMAS katu haitasalimu amri

    Mhariri Mkuu wa Middle East Eye: Harakati ya HAMAS katu haitasalimu amri

    Apr 25, 2025 03:53

    David Hearst, Mhariri Mkuu wa tovuti ya habari ya Middle East Eye amesema, Muqawama ndio njia pekee iliyobaki kwa ajili ya kukomesha ughasibu na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Serikali ya Jordan yaipiga marufuku harakati kongwe ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin

    Serikali ya Jordan yaipiga marufuku harakati kongwe ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin

    Apr 24, 2025 00:44

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jordan ametangaza kuwa utawala huo wa kifalme umeipiga marufuku harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin na kuielezea "itikadi" yake inayohubiri kuwa sasa ni 'haramu' kisheria nchini humo.

  • HAMAS yalitolea wito Baraza Kuu la PLO: Vunjeni uhusiano wenu wa kiusalama na Israel

    HAMAS yalitolea wito Baraza Kuu la PLO: Vunjeni uhusiano wenu wa kiusalama na Israel

    Apr 24, 2025 00:43

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelitaka Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO livunje uhusiano wa uratibu wa kiusalama uliopo baina yake na utawala wa Kizayuni na kuchukua msimamo wa pamoja wa Palestina dhidi ya mauaji ya kinyama yanayoendelea huko Ghaza.

  • Kubadilika mtazamo wananchi wa Marekani kuhusu Israel, Palestina na Hamas

    Kubadilika mtazamo wananchi wa Marekani kuhusu Israel, Palestina na Hamas

    Apr 24, 2025 00:01

    Wakati vita vya Ghaza vinaendelea na utawala wa Kizayuni umeshadidisha mauaji ya wanawake na watoto wa Palestina, mtazamo na mwelekeo wa wananchi wa Marekani kuhusuu Israel, Palestina na Hamas nao unaendelea kubadilika. Haya yamebainika katika chunguzi mpya za maoni zilizofanywa nchini Marekani.

  • Kushadidi mivutano ya kisiasa baina ya Ufaransa na utawala wa Kizayuni

    Kushadidi mivutano ya kisiasa baina ya Ufaransa na utawala wa Kizayuni

    Apr 22, 2025 22:38

    Utawala wa Israel umefuta viza za wabunge na maafisa 27 wa Ufaransa wa mrengo wa kushoto siku mbili kabla ya safari yao ya kuelekea Palestina inayokaliwa kwa mabavu iliyopewa jina bandia la Israel.

  • Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Kuitetea Ghaza ni jukumu la Waislamu wote

    Mkuu wa Umoja wa Maulamaa wa Muqawama: Kuitetea Ghaza ni jukumu la Waislamu wote

    Apr 21, 2025 03:46

    Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa wa Muqawama amesema, kuitetea na kuiunga mkono Ghaza ni jukumu la watu wote, na akatoa wito kwa mataifa ya Kiislamu na wanazuoni wa Kiislamu kuwasaidia ndugu zao wanaodhulumiwa huko Palestina na katika Ukanda wa Ghaza, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza jinai zake dhidi yao.

  • Iran: Utawala wa Kizayuni ndio kizuizi pekee kwa Asia Magharibi kuwa eneo lisilo na silaha za nyuklia

    Iran: Utawala wa Kizayuni ndio kizuizi pekee kwa Asia Magharibi kuwa eneo lisilo na silaha za nyuklia

    Apr 20, 2025 02:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Abbas Araghchi amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio kizuizi pekee kwa Asia Magharibi kuwa eneo lisilo na silaha za nyuklia, akionya kwamba utawala huo unaokalia ardhi kwa mabavu unachochea chuki dhidi ya Iran huku wenyewe ukiendeleza mauaji ya kimbari katika eneo hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS