Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kukataa utawala wa Kizayuni kushirikiana na Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Kukataa utawala wa Kizayuni kushirikiana na Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Feb 19, 2022 23:22

    Utawala wa Kizayuni umekataa kushirikiana na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa. Mwakilishi wa Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Tel Aviv haitashirikiana na jopokazi la uchunguzi la baraza hilo kwa ajili ya kuchunguza mashambulizi ya mwezi Mei mwaka jana ya utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Ghaza.

  • Syria: Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah ni uhalifu wa kivita

    Syria: Hatua ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina Sheikh Jarrah ni uhalifu wa kivita

    Feb 15, 2022 09:41

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetoa wito wa kukomeshwa hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuharibu nyumba za Wapalestina na kuwafukuza katika ardhi na makazi yao.

  • Sheikh Qassim: Waislamu wakabaliane na mwenendo wa kuanzishwa uhusiano na Israel

    Sheikh Qassim: Waislamu wakabaliane na mwenendo wa kuanzishwa uhusiano na Israel

    Feb 14, 2022 04:14

    Kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain ametoa wito wa kusimama kidete Waislamu katika kukabiliana na mwenendo wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Hatua ya

    Hatua ya "PLO" ya kusimamisha ushirikiano wa kiusalama na utawala wa Israel

    Feb 11, 2022 23:02

    Baraza Kuu la Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imetangaza kusimamisha kuutambua rasmi utawala wa Kizayuni wa Israel na ushirikiano wa kiusalama na utawala huo. Baraza Kuu la PLO pia limetangaza kuwa, limesimamisha uratibu wowote wa kiusalama na utawala wa Kizayuni kwa njia mbalimbali.

  • Jihadul Islami: Mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa Israel yataendelea kote Palestina

    Jihadul Islami: Mapambano dhidi ya utawala dhalimu wa Israel yataendelea kote Palestina

    Feb 11, 2022 03:58

    Ziyad al-Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Jihadul Islami amesisitiza kuwa, mapambano na muqawama dhidi ya utawala vamizi wa Kizayuni wa Israel yataendelea katika maeneo yote ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Radiamali kwa hatua ya wanajeshi wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana 3 wa Nablus

    Radiamali kwa hatua ya wanajeshi wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana 3 wa Nablus

    Feb 10, 2022 23:00

    Katika hali ambayo wakazi wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan wameamua kufanya mgomo kama jibu lao kwa hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwauwa shahidi vijana watatu wa Kipalestina, maafisa wa utawala huo wametamka wazi kuwa Israel iko huru kufanya oparesheni yoyote ya mauaji.

  • Syria yazuia mashambulio ya Wazayuni dhidi yake

    Syria yazuia mashambulio ya Wazayuni dhidi yake

    Feb 09, 2022 04:00

    Vyanzo vya Syria vimeripoti leo alfajiri kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya nchi hiyo imefanikiwa kuzuia mashambulio yaliyofanywa na utawala ghasibu wa Israel kuulenga mji mkuu wa nchi hiyo Damascus.

  • Kufutiwa utawala ghasibu wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Kufutiwa utawala ghasibu wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Feb 08, 2022 05:28

    Mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika tarehe 5 na 6 za mwezi huu wa Februari huko Addis Ababa Ethiopia umesitisha hadhi ya utawala ghasibu wa Israel ya kuwa mwanachama mtazamaji katika umoja huo.

  • Syria yaipongeza AU kwa kusimamisha uanachama wa Israel katika jumuiya hiyo

    Syria yaipongeza AU kwa kusimamisha uanachama wa Israel katika jumuiya hiyo

    Feb 07, 2022 23:19

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Syria imekaribisha uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusimamisha hadhi ya uanachama mwangalizi ya utawala wa Kizayuni Israel katika jumuiya hiyo.

  • Al Houthi: Uamuzi wa AU dhidi ya Israel ni pigo kubwa kwa wanaopatana na Wazayuni

    Al Houthi: Uamuzi wa AU dhidi ya Israel ni pigo kubwa kwa wanaopatana na Wazayuni

    Feb 07, 2022 03:52

    Mjumbe mmoja mwandamizi wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, hatua ya Umoja wa Afrika (AU) ya kuutimua utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye umoja huo ni pigo kubwa kwa wale wanaojipendekeza kwa utawala huo dhalimu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS