Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mamlaka ya Ndani: Njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo, ni kuundwa nchi huru ya Palestina

    Mamlaka ya Ndani: Njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo, ni kuundwa nchi huru ya Palestina

    May 26, 2021 02:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, juhudi za kimataifa za kujaribu kuutatua kisiasa mgogoro wa Palestina hazitofanikiwa ila kwa kuundwa nchi huru ya Palestina mjini mkuu wake ukiwa ni Baytul Muqaddas.

  • HAMAS yawapa mbinu Wapalestina wa Quds za kupambana na Wazayuni

    HAMAS yawapa mbinu Wapalestina wa Quds za kupambana na Wazayuni

    May 25, 2021 06:35

    Mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewataka Wapalestina wanaoishi katika mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas kutotulia, bali waendelee kujibu jinai zote zinazofanywa na wanajeshi wa Israel na walowezi wa Kizayuni dhidi yao.

  • Ufaransa yakiri kuhusu utambulisho wa kigaidi wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina

    Ufaransa yakiri kuhusu utambulisho wa kigaidi wa utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina

    May 25, 2021 06:03

    Jumapili iliyopita Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa aliashiria hujuma ya kinyama iliyofanywa karibuni na utawala haramu wa Israel katika miji kadhaa ya Waarabu katika ardhi unazozikalia kwa mabavu na kutahadharisha dhidi ya ubaguzi wa rangi unaotekelezwa na utawala huo dhidi ya Wapalestina.

  • Jordan yalaani uvamizi mpya wa utawala wa Kizayuni katika Msikiti wa al Aqsa

    Jordan yalaani uvamizi mpya wa utawala wa Kizayuni katika Msikiti wa al Aqsa

    May 23, 2021 22:01

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imelaani uvamizi mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa al Aqsa na hatua ya utawala huo ya kuwatia nguvuni wafanyazi wa Idara ya Waqfu ya Quds.

  • Wazayuni wazidi kupapurana, sasa mawaziri wawashambulia majenerali wa kijeshi kuhusu Ghaza

    Wazayuni wazidi kupapurana, sasa mawaziri wawashambulia majenerali wa kijeshi kuhusu Ghaza

    May 22, 2021 02:04

    Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni limelilaumu jeshi la utawala huo kwa kuboronga katika vita vilivyoisha juzi usiku vya Ukanda wa Ghaza.

  • Nchi 63 zalitaka Baraza la Haki za Binadamu la UN lichunguze jinai za Israel huko Palestina

    Nchi 63 zalitaka Baraza la Haki za Binadamu la UN lichunguze jinai za Israel huko Palestina

    May 21, 2021 21:59

    Nchi 63 zimelitaka Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lifanye uchunguzi na kushughulikia jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wasio na hatiai wa Palestina.

  • Ayatullah Makarim: Wazayuni wameionyesha dunia hulka yao ya ushenzi

    Ayatullah Makarim: Wazayuni wameionyesha dunia hulka yao ya ushenzi

    May 20, 2021 23:07

    Ayatullah Nasir makarim Shirazi, mmoja wa Marjaa Taqlidi aliyeko mji mtukufu wa Qum amelaani hatua za kinyama zinazochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel za kuua na kumwaga damu za wanaume, wanawake na watoto madhulumu na wasio na ulinzi wa Palestina.

  • Silaha mpya za Marekani kwa utawala wa Israel; hatua nyingine ya kuendeleza mauaji dhidi ya Wapalestina

    Silaha mpya za Marekani kwa utawala wa Israel; hatua nyingine ya kuendeleza mauaji dhidi ya Wapalestina

    May 19, 2021 22:23

    Sambamba na kufikia kilele jinai za utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya Wapalestina, serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani umeamua kuuzia utawala huo silaha mpya na za kisasa kabisa zenye thamani ya dola milioni 735.

  • Utawala wa Kizayuni wabomoa kikamilifu misikiti mitatu Gaza

    Utawala wa Kizayuni wabomoa kikamilifu misikiti mitatu Gaza

    May 19, 2021 06:53

    Utawala wa Kizayuni wa Israel mbali na kufanya mauaji dhidi ya Wapalestina katika hujuma na mashambulio yake ya kinyama yanayoendelea, umebomoa kikamilifu misikiti mitatu katika Ukanda wa Gaza.

  • Wazayuni: Hatujawahi kushambuliwa kwa idadi kubwa ya makombora kama mara hii

    Wazayuni: Hatujawahi kushambuliwa kwa idadi kubwa ya makombora kama mara hii

    May 19, 2021 00:06

    Msemaji wa lugha ya Kiarabu wa jeshi la utawala katili wa Kizayuni usiku wa kuamkia leo amekiri kwamba utawala huo dhalimu haujawahi kushambuliwa kwa idadi kubwa ya makombora na makundi ya muqawama kama unavyoshambuliwa hivi sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS