Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Iran yalaani kufunguliwa ubalozi wa Bahrain mjini Tel Aviv

    Iran yalaani kufunguliwa ubalozi wa Bahrain mjini Tel Aviv

    Apr 04, 2021 03:25

    Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, limelaani hatua ya utawala wa kifalme wa Bahrain kufungua ubalozi katika utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wanafikra Wazayuni: Israel ni dhaifu na tete katika kukabiliana na vita vya pande zote

    Wanafikra Wazayuni: Israel ni dhaifu na tete katika kukabiliana na vita vya pande zote

    Apr 02, 2021 23:04

    Kituo cha tafiti za usalama wa ndani cha utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kimesema, hatari kuu inayokabili uwepo wa utawala huo ni vita vya pande zote kutokea kaskazini, mashariki na kusini.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia aunga mkono kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia aunga mkono kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Apr 02, 2021 09:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amedai kuwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuna faida nyingi za kiuchumi, kijamii na kiusalama kwa eneo la Asia Magharibi.

  • Chama cha Waarabu kina turufu ya kuamua hatima ya uchaguzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Chama cha Waarabu kina turufu ya kuamua hatima ya uchaguzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mar 25, 2021 22:26

    Chama kidogo cha Orodha ya Muungano wa Waarabu (UAL) kimefanikiwa kushinda idadi muhimu ya viti katika uchaguzi wa Israel na kukipa turufu ya kuchagua waziri mkuu ajaye wa utawala huo wa Kizayuni.

  • Israel kutekeleza njama mpya ili kuwaacha bila makazi Wapalestina 1550 wa Baitul Muqaddas

    Israel kutekeleza njama mpya ili kuwaacha bila makazi Wapalestina 1550 wa Baitul Muqaddas

    Mar 20, 2021 00:11

    Vyombo vya habari vya nchi za Kiarabu vimeripoti kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeandaa mpango wa kubomoa nyuma zaidi ya 100 za Wapalestina katika mji unaoukalia kwa mabavu wa Baitul Muqaddas na kuwaacha Wapalestina wapatao 1550 bila mahali pa kuishi.

  • Kuendelea Azerbaijan kununua silaha za utawala haramu wa Israel

    Kuendelea Azerbaijan kununua silaha za utawala haramu wa Israel

    Mar 18, 2021 22:53

    Licha ya kufikia tamati vita vya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia kuhusu umiliki wa eneo la Karabakh na kutiwa saini makubaliano ya amani baina ya pande mbili kwa upatanishi wa Russia, lakini kumeanza duru mpya ya kununua silaha za utawala haramu wa Israel unaofanywa na serikali ya Rais Ilham Aliyev wa Azerbaijan.

  • Lebanon yalaani madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Hizbullah

    Lebanon yalaani madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu Hizbullah

    Mar 17, 2021 23:18

    Balozi wa Lebanon katika Umoja wa Mataifa amelaani madai yaliyotolewa hivi karibuni na viongozi wa Kizayuni dhidi ya Hizbullah akisisitiza kuwa hayana msingi na yanaingilia masuala ya ndani ya nchi yake.

  • Netanyahu afuta safari yake Imarati kwa kuihofu harakati ya Ansarullah

    Netanyahu afuta safari yake Imarati kwa kuihofu harakati ya Ansarullah

    Mar 14, 2021 23:36

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa amefuta safari yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kuhofu mashambulizi ya makombora ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen.

  • Israel ina hofu ya HAMAS kushinda uchaguzi wa Palestina na kudhibiti pia Ufukwe wa Magharibi

    Israel ina hofu ya HAMAS kushinda uchaguzi wa Palestina na kudhibiti pia Ufukwe wa Magharibi

    Mar 13, 2021 04:27

    Wachambuzi wa mambo katika duru za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamesema mashirika ya usalama ya utawala huo yana hofu na wasiwasi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS kushinda uchaguzi ujao na kulidhibiti pia eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Jordan yasisitiza Israel haipaswi kuingilia mambo ya ndani ya Msikiti wa Al Aqsa

    Jordan yasisitiza Israel haipaswi kuingilia mambo ya ndani ya Msikiti wa Al Aqsa

    Mar 12, 2021 04:49

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel haupaswi kuingilia mambo ya Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) kwa sababu Wazayuni hawana mamlaka yoyote katika eneo hilo takatifu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS