-
Wanaharakati wa Imarati wapinga hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kufikia mapatano na utawala wa Kizayuni
Aug 20, 2020 19:38Wanaharakati wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) wameyataja mapatano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili kuwa ni kukiuka katiba na na kupuuza msimamo wa viongozi wa mwanzo wa Imarati katika kuinga mkono Palestina.
-
HAMAS: Tutatumia nyenzo zote kwa ajili ya kuusambaratisha mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza
Aug 19, 2020 22:03Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, harakati hiyo ya muqawama itatumia suhula na nyenzo zote ili kuusambaratisha mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS yaomba mabunge na viongozi wa dunia waisaidie na kuiunga mkono Palestina
Aug 19, 2020 06:27Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameyataka mabunge duniani pamoja na viongozi wa kisiasa watoe msaada na uungaji mkono kwa kadhia ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na njama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Imran Khan: Pakistan kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel
Aug 19, 2020 05:26Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa nchi yake kamwe haitautambua rasmi utawala haramu wa Israel.
-
Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia Ukanda wa Ghaza
Aug 18, 2020 03:00Ndege za kivita za utawala haramu wa Kizayuni leo asubuhi zimeshambulia ngome za harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Ghaza.
-
Taathira za kiusalama za ‘makubaliano ya usaliti’ ya Israel na Imarati
Aug 17, 2020 02:08Makubaliano ya hiana na usaliti ya Imarati na utawala dhalimu wa Israel ya kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia baina yao yatakuwa na matokeo na taathira tofauti katika uga wa usalama.
-
Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel
Aug 14, 2020 05:04Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kuwa balozi wa Palestina mjini Abu Dhabi ameitwa nyumbani kulalamikia hatua ya Imarati ya kuanzisha rasmi uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Mapatano ya aibu na usaliti kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 14, 2020 04:29Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, utawala ghasibu wa Israel na Marekani zimetoa taarifa ya pamoja zikitangaza kwamba Imarati na utawala haramu wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yazo.
-
Ujumbe wa Zarif katika kumbukumbu ya ushindi wa Hizbullah katika Vita vya Siku 33
Aug 14, 2020 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa kwa serikali na watu wa Lebanon kwa mnasaba wa mwaka wa 14 wa ushindi uliojaa fahari wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika Vita vya Siku 33.
-
Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yalaani mapatano ya kuaibisha ya UAE na Israel
Aug 13, 2020 22:43Makundi ya kupigania ukombozi wa Paelstina yametoa taarifa kadhaa za kulaani vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.