Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Utawala wa Kizayuni wa Israel waomba usuluhishi wa UN kwa kuhofia kipigo cha Hizbullah

    Utawala wa Kizayuni wa Israel waomba usuluhishi wa UN kwa kuhofia kipigo cha Hizbullah

    Jul 26, 2020 09:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, utawala huo umetuma barua kwa harakati ya Hizbullah ya Lebanon kupitia Umoja wa Mataifa.

  • Hamas na Fat'h kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa Israel

    Hamas na Fat'h kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa Israel

    Jul 23, 2020 08:31

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo itaendeleza ushirikiano wake na Chama cha Fat'h kwa ajili ya kuanza mapambano yenye malengo dhidi ya utawala vamizi wa Israel.

  • Jeshi la utawala wa Kizayuni lafuta mazoezi ya kijeshi likihofia kushambuliwa na Hizbullah

    Jeshi la utawala wa Kizayuni lafuta mazoezi ya kijeshi likihofia kushambuliwa na Hizbullah

    Jul 23, 2020 03:34

    Duru za habari za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa wanajeshi wa Israel wamefuta mazoezi waliyopanga kufanya wakihofia kushambuliwa na harakati ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Mgomo mkubwa wa wauguzi waanza Israel; serikali ya Netanyahu yakalia kuti kavu

    Mgomo mkubwa wa wauguzi waanza Israel; serikali ya Netanyahu yakalia kuti kavu

    Jul 20, 2020 06:37

    Wauguzi huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) wameanza mgomo wao Jumatatu ya leo wakilalamikia uzembe wa serikali ya Waziri Mkuu wa utawala ghasibu Benjamin Netanyahu katika kukabiliana na virusi vya Corona.

  • Jihadul Islami ya Palestina yalalamikia njama mpya za

    Jihadul Islami ya Palestina yalalamikia njama mpya za "Google" na "Apple"

    Jul 19, 2020 06:18

    Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imekosoa vikali kitendo cha mashirika ya intaneti ya Google na Apple ya Marekani ya kuondoa neno "Palestina" katika ramani zao za dunia.

  • Yedioth Ahronoth: Benjamin Netanyahu ni kirusi hatari mno

    Yedioth Ahronoth: Benjamin Netanyahu ni kirusi hatari mno

    Jul 18, 2020 22:19

    Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limechapisha makala inayomkosoa vikali Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kueleza kuwa, mwanasiasa huyo ni kirusi hatari mno.

  • Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake

    Bunge la Malaysia: Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mataifa na asasi zake

    Jul 17, 2020 22:02

    Wawakilishi wa Bunge la Malaysia wametoa wito wa kufukuzwa utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa.

  • Wakuu 300 wa kisiasa na kijeshi wanasubiri kutiwa mbaroni kwa ufisadi nje ya 'Israel'

    Wakuu 300 wa kisiasa na kijeshi wanasubiri kutiwa mbaroni kwa ufisadi nje ya 'Israel'

    Jul 16, 2020 07:55

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeandaa orodha ya siri ya wakuu 200 hadi 300 wa kisiasa na kijeshi wa utawala huo ambao wanasubiri kutiwa mbaroni nje ya ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.

  • Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina

    Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina

    Jul 16, 2020 03:29

    Utawala haramu wa Kizayuni umekusudia kumega asilimia 30 ya ardhi za Palestina za Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ulizozivamia na kuanza kuzikalia kwa mabavu mwaka 1967 na kuziunganisha na ardhi zingine ulizozipa jina la Israel, ukiwa ni muendelezo wa malengo yake ya muda mrefu ya kuikalia kwa mabavu Palestina yote.

  • Baraza la Congress la Marekani lapasisha bajeti ya kulinda usalama wa Israel

    Baraza la Congress la Marekani lapasisha bajeti ya kulinda usalama wa Israel

    Jul 07, 2020 06:30

    Baraza la Wawakilishi la Marekani limepasisha bajeti ya kulinda usalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS