-
Wanafunzi sita wa Palestina wauawa shahidi katika hujuma za utawala wa Kizayuni
Nov 15, 2019 10:21Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, wanafunzi sita Wapalestina wameuawa shahidi kufuatia hujuma za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wanamuqawama wa Palestina wasitisha vita baada ya Israel kukubali masharti yao
Nov 14, 2019 04:33Baada ya utawala haramu wa Kizayuni kukubali masharti ya wanamuqawama wa Palestina, makundi ya Kipalestina ikiwemo Harakati ya Jihadul-Islami yamekubali pendekezo la Misri kwa ajili ya kusimamisha vita.
-
Tawi la kijeshi la Jihadul-Islami lashambulia mkusanyiko wa askari wa utawala wa Kizayuni
Nov 13, 2019 04:39Wanamuqawama wa tawi la Al-Quds la Harakati ya Jihadul-Islami la Palestina, wameshambulia kwa kombora mkusanyiko wa askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo la mashariki mwa Rafah.
-
Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu jeshini Israel yaongezeka
Nov 09, 2019 04:22Idadi ya askari wanaokimbia kuhudumu ndani ya jeshi la utawala haramu wa Kizayuni Israel, imezidi kuongezeka huku suala la matatizo ya kisaikolojia likitajwa kuwa ndio sababu.
-
Hamas yalaani nchi za Kiarabu zinazopigania kuwa na uhusiano na Israel
Oct 30, 2019 10:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imezilaani nchi za Kiarabu ambazo zinapigania kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Harakati ya kimataifa ya kupinga mateso dhidi ya mateka wa Kipalestina yaanzishwa
Oct 24, 2019 23:20Zaidi ya taasisi na jumuiya 40 za Kipalestina na kimataifa zimeanzisha harakati ya kupinga mateso na unyanyasaji unaofanywa na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela na korokoro za utawala huo.
-
Makundi ya muqawama Palestina yaonya kuhusu hatua za Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa
Oct 21, 2019 08:57Makundi ya wanamuqawama wa Palestina yametoa onyo kwa hatua za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Marekani yaongeza misaada ya kijeshi kwa utawala utendao jinai wa Israel
Oct 21, 2019 04:38Marekani imeongeza msaada wa kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unaendelea kutenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
HAMAS yalaani utawala wa Kizayuni wa Israel kushirikishwa katika mkutano wa Bahrain
Oct 20, 2019 23:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kualikwa na kushirikishwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa usalama wa baharini unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain, ikisisitiza kwamba hatua hiyo inakinzana na misimamo ya umma wa Waarabu.
-
Jordan yatupilia mbali madai ya Israel ya kutaka kurefusha muda wa udhibiti wa ardhi za Baqora na Ghamra
Oct 17, 2019 10:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imetangaza habari ya kutupilia mbali madai ya vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni kwamba serikali ya Amman imeukubalia utawala huo kuendelea kukodi ardhi za maeneo ya Baqora na Ghamra.