Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mbunge wa Palestina: Utawala wa Kizayuni unaendelea kuiyahudisha Quds

    Mbunge wa Palestina: Utawala wa Kizayuni unaendelea kuiyahudisha Quds

    Oct 11, 2019 04:19

    Mbunge anayeuwakilisha mji wa Quds katika bunge la Palestina amesema kuwa utawala wa Kizayuni unaendelea kutekeleza mipango yake iliyoikusudia kwa malengo maalumu na inastafidi na kushughulishwa Umma wa Kiislamu na Kiarabu na masuala yake ya ndani ili kusogeza mbele mipango yake hiyo.

  • Hizbullah: Hatutosalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Hizbullah: Hatutosalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Oct 10, 2019 08:37

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa vikwazo vya Marekani haviwezi kudhoofisha imani na ahadi yake ya kulinda nchi na raia.

  • HAMAS: Dunia ikabiliane na uvunjiaji heshima yanayofanyiwa matukufu ya Kiislamu na Kikristo Palestina

    HAMAS: Dunia ikabiliane na uvunjiaji heshima yanayofanyiwa matukufu ya Kiislamu na Kikristo Palestina

    Oct 10, 2019 04:20

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa taarifa ya kuitaka Jamii ya Kimataifa ichukue hatua kukabiliana na uvunjaji heshima unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya matukufu ya Kiislamu na Kikristo katika ardhi ya Palestina.

  • Aoun atetea oparesheni ya Hizbullah dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Aoun atetea oparesheni ya Hizbullah dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Oct 02, 2019 04:35

    Rais wa Lebanon amekutana na Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Lebanon na kutetea oparesheni iliyofanywa na harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo dhidi ya chokochoko za utawala wa Kizayuni.

  • Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Walowezi 200 wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Sep 29, 2019 09:49

    Walowezi wapatao 200 leo wamevamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa wakiitikia wito wa makuhani wa utawala ghasibu wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Hizbullah: Muqawama una haki ya kujibu uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hizbullah: Muqawama una haki ya kujibu uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 27, 2019 08:55

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ni haki ya wanamapambano na wanamuqawama kutoa jibu dhidi ya uchokozi wa aina yoyote ile wa adui Mzayuni.

  • Hizbullah: Tawala za nchi za Kiarabu ndizo zinazobeba dhima ya matatizo ya umma wa Kiislamu

    Hizbullah: Tawala za nchi za Kiarabu ndizo zinazobeba dhima ya matatizo ya umma wa Kiislamu

    Sep 25, 2019 04:18

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kushindwa tawala za nchi za Kiarabu kutekeleza majukumu yao ndiyo sababu ya kupata matatizo umma wa Kiislamu na kuendelea kuwepo utawala pandikizi wa Israel katika eneo hili.

  • Wamorocco wakasirishwa na kupeperushwa bendera ya Israel nchini kwao

    Wamorocco wakasirishwa na kupeperushwa bendera ya Israel nchini kwao

    Sep 24, 2019 08:42

    Safari ya ujumbe wa utawala haramu wa Israel ukiongozwa na mmoja wa viongozi wa chama cha Likud nchini Morocco na kupeperushwa bendera ya utawala huo kusini mashariki mwa nchi hiyo, kumezua malalamiko ya Wamorocco.

  • Rais Rouhani: Kuweko mifarakano katika eneo, ndilo takwa la Marekani na Uzayuni

    Rais Rouhani: Kuweko mifarakano katika eneo, ndilo takwa la Marekani na Uzayuni

    Sep 22, 2019 09:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuweko mifarakano baina ya mataifa ya Mashariki ya Kati ndilo takwa la Marekani na Uzayuni.

  • Mayahudi wa Afrika Kusini waususia kitaaluma utawala wa Kizayuni

    Mayahudi wa Afrika Kusini waususia kitaaluma utawala wa Kizayuni

    Sep 18, 2019 20:55

    Karibu wasomi 70 wa Kiyahudi wa nchini Afrika Kusini wameususia kitaaluma utawala ghasibu wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS