-
Avigdor Lieberman ataka kuanzishwa tena siasa za kuwaua Wapalestina
Feb 08, 2019 11:30Waziri wa zamani wa Vita wa utawala haramu wa Israel ametoa wito wa kuanzishwa tena siasa za mauaji dhidi ya viongozi na wanamapambano wa Kipalestina huko katika Ukanda wa Gaza.
-
Makumi ya Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Feb 08, 2019 11:22Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Hizbullah: Tumejitayarisha kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala wa Kizayuni
Feb 05, 2019 00:13Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kuwa wanamapambano wa muqawama wamejiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana na hujuma tarajiwa ya utawala haramu wa Israel.
-
Viongozi wa kijeshi wa Israel wakiri kuwepo hali ya hofu kati ya askari wa utawala huo
Feb 04, 2019 10:39Naibu mkuu wa majeshi ya utawala haramu wa Israel, Yair Golan ameelezea kuwepo hali ya kukata tamaa kati ya askari wa utawala huo.
-
Brigedia Jenerali Salami: Endapo Israel itaanzisha vita vipya itafutwa katika uso wa dunia
Jan 28, 2019 23:47Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, endapo utawala haramu wa Israel utaanzisha vita vipya, hapana shaka kuwa, vita hivyo ndivyo vitakavyopelekea utawala huo kufutwa katika uso wa dunia.
-
Iraq yaionya Israel: Msifikirie kabisa kushambulia ardhi yetu
Jan 27, 2019 23:14Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq ametoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuuonya usifikirie kabisa kushambulia ardhi ya nchi hiyo.
-
Israel yapatwa na kiwewe, yaamua kuweka ngao ya makombora Tel Aviv
Jan 25, 2019 04:34Kufuatia kushdidi mvutano katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na kadhalika Ukanda wa Gaza, vyombo vya habari vya utawala harakamu wa Kizayuni vimetangaza kwamba, Israel imeamua kuweka ngao ya chuma ya kuzuia makombora mjini Tel Aviv, mji mkuu wa utawala huo bandia.
-
Hamas yauonya utawala haramu wa Israel juu ya matokeo mabaya ya hujuma zake
Jan 23, 2019 13:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel juu ya matokeo mabaya ya hujuma na uvamizi wake dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Mwanahistoria Mzayuni: Hadi miaka 30 ijayo Israel itakuwa imeshatoweka
Jan 19, 2019 12:04Benny Morris, mwanahistoria mashuhuri wa Kizayuni amesema: Hadi miaka 30 ijayo Israel haitakuwepo tena, na Wazayuni watageuka kuwa jamii ndogo ya wachache.
-
Israel yakiri kuwapa msaada wa silaha wapinzani wa serikali ya Syria
Jan 16, 2019 00:58Mkuu wa Majeshi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umekuwa ikiwapa silaha wapinzani wa serikali ya Syria.