Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Siku ya Wanawake; Iran yataka Israel itimuliwe UN + Picha

    Siku ya Wanawake; Iran yataka Israel itimuliwe UN + Picha

    Mar 09, 2025 03:16

    Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa imetaka utawala wa Kizayuni utimuliwe kutoka kwenye umoja huo kutokana na jinai kubwa unazofanya dhidi ya wananchi wa kawaida wa Palestina hasa wanawake na watoto wadogo.

  • Mpango wa Umoja wa Nchi za Kiarabu kuhusu Palestina unapingana na matakwa ya Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Mpango wa Umoja wa Nchi za Kiarabu kuhusu Palestina unapingana na matakwa ya Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Mar 05, 2025 04:43

    Viongozi wa nchi za Kiarabu, katika mkutano wao mjini Cairo, wamepinga mipango na njama za kishetani za Marekani na utawala wa Kizayuni kwa kukataa hatua za kulazimisha uhamishaji wa Wapalestina.

  • Hamas: Kufunga vivuko vya Ukanda wa Gaza ni jinai ya kivita

    Hamas: Kufunga vivuko vya Ukanda wa Gaza ni jinai ya kivita

    Mar 05, 2025 02:40

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS imelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kufunga kwa siku tatu mfululizo vivuko vya Ukanda wa Gaza na kuitaja hatua hiyo kuwa inashadidisha kukiukwa makubaliano ya kusitisha mapigano na ni jinai ya kivita.

  • Hamas: Tumejenga upya uwezo wetu kwa vita vyovyote vya siku zijazo

    Hamas: Tumejenga upya uwezo wetu kwa vita vyovyote vya siku zijazo

    Mar 05, 2025 00:43

    Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS amesema kuwa, ingawa uamuzi wa kuanzisha tena vita kwa sasa unaonekana uko mbali, lakini harakati hiyo tayari imejenga upya uwezo wake wa kijeshi ili kukabiliana na vita vyovyote vile vya siku za usoni.

  • Filamu kuhusu Israel inavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao yashinda tuzo ya Oscar

    Filamu kuhusu Israel inavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao yashinda tuzo ya Oscar

    Mar 03, 2025 23:30

    Filamu kuhusu utawala haramu wa Israel unavyowatimua Wapalestina katika ardhi yao, imeshinda tuzo ya Oscar na wakurugenzi wake wametoa wito kwa ulimwengu kusaidia kumaliza mgogoro huo na kuishutumu Marekani kwa kuzuia kufikiwa utatuzi.

  • Misaada ya kijeshi na silaha ambayo haijawahi kutolewa mfano wake ya serikali ya Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Misaada ya kijeshi na silaha ambayo haijawahi kutolewa mfano wake ya serikali ya Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mar 03, 2025 23:28

    Sambamba na Marekani kukata misaada yake kwa Ukraine, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, siku ya Jumapili alitumia mamlaka ya dharura aliyonayo kisheria kupitisha mpango wa utoaji msaada wa shehena ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 4 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina yataka walimwengu waishinikize Israel

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina yataka walimwengu waishinikize Israel

    Mar 02, 2025 22:53

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeonya juu ya matokeo mabaya ya kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza na kuitaka jamii ya kimataifa kuulazimisha utawala wa Kizayuni utekeleze majukumu yake ya kibinadamu.

  • Israel yakiri rasmi kushindwa katika oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa

    Israel yakiri rasmi kushindwa katika oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa

    Feb 28, 2025 04:01

    Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kuwa, katika mashambulizi ya Oktoba 7 mwaka 2023 lilishindwa kuwahami walowezi wa utawala huo wanaoishi katika maeneo jirani na Gaza; na kwamba lilifeli katika masaa ya awali mkabala wa mashambulizi ya Hamas.

  • Baqaei: Kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa Israel nchini Syria

    Baqaei: Kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa Israel nchini Syria

    Feb 27, 2025 08:17

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa utawala haramu wa Israel nchini Syria

  • Israel inakusudia nini kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya Syria?

    Israel inakusudia nini kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya Syria?

    Feb 27, 2025 06:28

    Utawala wa Kizayuni wa Israel Jumatano Februari 26 ulishambulia mara kadhaa maeneo mbalimbali ya Syria na kuua na kujeruhi watu kadhaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS