Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Madai ya James Mattis dhidi ya Iran katika kuikingia kifua Israel

    Madai ya James Mattis dhidi ya Iran katika kuikingia kifua Israel

    Feb 12, 2018 11:01

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani akiwa na lengo la kutetea uvamizi wa utawala haramu wa Israel huko Syria na dhidi ya mhimili wa muqawama amedai kwamba, Iran ndio tatizo kubwa katika Mashariki ya Kati.

  • Hizbullah: Stratijia mpya ya kupambana na uvamizi wa Israel nchini Syria imeanza rasmi

    Hizbullah: Stratijia mpya ya kupambana na uvamizi wa Israel nchini Syria imeanza rasmi

    Feb 11, 2018 04:14

    Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon imetoa taarifa ya kupongeza kitendo cha kuangamizwa ndege ya kisasa ya kivita ya utawala haramu wa Israel ya F16 katika anga ya Syria na kusisitiza kuwa, mlingano wa nguvu wa zamani sasa umebadilika.

  • Mbunge wa Israel: Anachokifanya Netanyahu Syria, ni kupotosha tuhuma za ufisadi wake

    Mbunge wa Israel: Anachokifanya Netanyahu Syria, ni kupotosha tuhuma za ufisadi wake

    Feb 11, 2018 03:53

    Mwakilishi wa bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Knesset, amesema kuwa, hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ya kuzusha mizozo ndani ya utawala huo ni kujaribu kupotosha fikra za walio wengi kuhusiana shutuma kubwa za ufisadi wa fedha zinazomkabili.

  • Iran yakanusha madai ya Israel ya kuhusika katika kuangamizwa ndege yake huko Syria

    Iran yakanusha madai ya Israel ya kuhusika katika kuangamizwa ndege yake huko Syria

    Feb 11, 2018 01:19

    Bahram, Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha vikali madai ya utawala khabithi wa Israel kwamba Tehran imehusika katika tukio la kuangamizwa ndege yake ya kivita katika anga ya Syria hapo jana.

  • Kamanda wa Israel: Tukiingia kwenye vita, Hizbullah itashambulia bandari zetu za Haifa na Ashdod

    Kamanda wa Israel: Tukiingia kwenye vita, Hizbullah itashambulia bandari zetu za Haifa na Ashdod

    Feb 06, 2018 11:30

    Mmoja wa makamanda wa ngazi ya juu katika jeshi la utawala haramu wa Israel, amesema kuwa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon inamiliki makombora erevu ambayo yanaweza kusambaratisha vituo vya gesi vya Israel zikiwemo pia bandari za Haifa na Ashdod.

  • Rais wa Misri akosolewa vikali kufuatia kufichuliwa ushirikiano wake wa siri na utawala wa Kizayuni

    Rais wa Misri akosolewa vikali kufuatia kufichuliwa ushirikiano wake wa siri na utawala wa Kizayuni

    Feb 05, 2018 04:19

    Rais wa Misri amekabiliwa na ukosoaji mkubwa kufuatia kufichuliwa ushirikiano wa siri kati ya serikali yake na utawala wa Kizayuni.

  • Njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwatimua Wakristo kutoka Quds Tukufu

    Njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwatimua Wakristo kutoka Quds Tukufu

    Feb 04, 2018 04:36

    Baraza la Kiislamu-Kikristo la Kuunga Mkono Quds Tukufu (Jerusalem) limetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatekeleza njama za kuwatimua Wakristo kutoka Quds ili kubadilisha muundo wa kijamii wa mji huo uwe ni aghalabu wa Mayahudi.

  • Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jan 30, 2018 23:52

    Harakati ya Hizbullah ya lebanon imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kupitia kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kilichopo kusini mwa Lebanon (UNIFIL) kuhusu suala la kujenga ukuta wa kibaguzi katika mipaka na Lebanon.

  • Zaidi ya wabunge 10 wa bunge la Israel kususia hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani

    Zaidi ya wabunge 10 wa bunge la Israel kususia hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani

    Jan 21, 2018 23:34

    Zaidi ya wabunge 10 wa bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Knesset wametangaza kuwa watasusia hotuba inayotazamiwa kutolewa na Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence.

  • Utawala wa Kizayuni wa Israel waiomba radhi rasmi Jordan

    Utawala wa Kizayuni wa Israel waiomba radhi rasmi Jordan

    Jan 19, 2018 03:54

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeiomba radhi rasmi Jordan kutokana na tukio lililojiri mwaka uliopita la kuuliwa raia wawili wa Jordan na afisa wa jeshi wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS