Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Afisa wa MOSSAD akiri nguvu za Hizbullah ya Lebanon

    Afisa wa MOSSAD akiri nguvu za Hizbullah ya Lebanon

    Jan 14, 2018 10:35

    Afisa mmoja wa shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD amekiri kwamba kushindwa operesheni ya utawala huo ya mwaka 1997 kulitokana na Hizbullah kuwa na teknolojia kubwa zaidi iliyoiwezesha kupenya kusikiliza mazungumzo ya maafisa wa Israel.

  • Israel yaunga mkono rasmi ugaidi

    Israel yaunga mkono rasmi ugaidi

    Jan 14, 2018 10:31

    Mkuu wa kamati ya kushughulikia suala la mateka na Wapalestina wanaoachiliwa huru amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unawasaidia kifedha Wazayuni wanaofanya jinai dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Netanyahu: Makao ya Bunge na Serikali ya Israel yatakuwa Baitul Muqaddas

    Netanyahu: Makao ya Bunge na Serikali ya Israel yatakuwa Baitul Muqaddas

    Jan 11, 2018 12:56

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema makao ya bunge na serikali ya utawala huo haramu yatahamishiwa mji wa Baitul Muqaddas.

  • Utawala wa Kizayuni wakiri kuwauwa kwa umati Wapalestina

    Utawala wa Kizayuni wakiri kuwauwa kwa umati Wapalestina

    Jan 08, 2018 04:46

    Polisi ya utawala wa Kizayuni imetangaza kuwa Wapalestina 201 ambao kuanzia mwezi Oktoba mwaka 2015 walishiriki katika oparesheni dhidi ya utawala huo wameuliwa hadharani.

  • Sheria ya

    Sheria ya "adhabu ya kifo" dhidi ya Wapalestina walioshiriki katika operesheni dhidi ya Israel; ugaidi wa kiserikali

    Jan 06, 2018 04:12

    Hatua ya Bunge la Israel ya kupasisha sheria ya "adhabu ya kifo" dhidi ya Wapalestina walioshiriki katika mashambulizi dhidi ya malengo ya Israel ambayo yamepelekea kuuawa Wazayuni, imekabiliwa na upinzani mkali wa maafisa wa Palestina na Umoja wa Ulaya.

  • Ayatullah Ahmad Jannati: Hatua yoyote iliyo dhidi ya Uislamu itashindwa

    Ayatullah Ahmad Jannati: Hatua yoyote iliyo dhidi ya Uislamu itashindwa

    Dec 26, 2017 00:16

    Ayatullah Ahmad Jannati, Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua yoyote ile iliyo dhidi ya Uislamu na Waislamu itashindwa na kusambaratika.

  • Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)

    Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)

    Dec 24, 2017 13:11

    Bila ya kujali utukufu wa eneo alipozaliwa Nabii Isa AS, kwa mara nyingine jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeuvamia mji wa Baytullahm (Bethlehem) na kuwashambulia kwa mabomu ya kutoa machozi Wapalestina waliokuwa wanaandamana kupinga siasa za kiuadui za Marekani dhidi ya eneo hilo takatifu.

  • Syria yaahidi kujibu jinai zote za Israel nchini humo

    Syria yaahidi kujibu jinai zote za Israel nchini humo

    Dec 22, 2017 00:54

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ameuonya utawala wa Kizayuni na kuuhakikishia kuwa Damascus itajibu mashambulizi yote yanayofanywa na Israel katika ardhi ya Syria.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa atembelea Libya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa atembelea Libya

    Dec 22, 2017 00:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Yves Le Drian ameyataka makundi hasimu nchini Libya kuheshimu juhudi za upatanishi za Umoja wa Mataifa na kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2018

  • Sisitizo latolewa la kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sisitizo latolewa la kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 21, 2017 12:46

    Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitizia udharura wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel na kuongeza kwamba lengo la kuundwa jeshi hilo ni kurejesha haki za wananchi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS