-
Israel yaendelea kuwasaida magaidi wanaopumua pumzi za mwisho Syria, yashambulia jeshi la serikali
Oct 20, 2017 01:10Katika kuendelea uungaji mkono wa jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwa makundi ya kigaidi na ukufurishaji yanayotaka kuiangusha serikali halali ya Syria, kwa mara nyingine jeshi la utawala haramu wa Kizayuni limeshambulia maeneo ya jeshi la Syria katika maeneo ya mpaka wa nchi hiyo.
-
Israel yapatwa na presha baada ya visima vya mafuta vya Kirkuk kudhibitiwa na serikali ya Baghdad
Oct 18, 2017 11:44Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekumbwa na wasi wasi na wahka mkubwa kutokana na Wakurdi kuondolewa katika visima vya mafuta vya eneo la Kirkuk na kisha kudhibitiwa na jeshi la serikali kuu ya Iraq.
-
Radiamali ya Hamas kwa masharti ya utawala wa Kizayuni ili kukubali mapatano ya Wapalestina
Oct 18, 2017 04:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kuwa inapinga mashatri yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni ili kukubali mapatano ya kitaifa ya Wapalestina na kusisitiza kuwa mashatri hayo ni uingiliaji wa masuala ya Palestina.
-
Nchi za Afrika zatahadharishwa kuhusu harakati za Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani humo
Oct 15, 2017 23:39Makundi mbalimbali ya kisiasa ya Tunisia yamezitahadharisha nchi za Afrika kuhusu harakati zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuwa na ushawishi barani humo.
-
Wabahrain waandamana kupinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Oct 13, 2017 12:02Watu wa Bahrain wameandamana kulaani vikali mpango wa ufalme wa nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ayatullah Amoli Larijani: Utawala wa Kizayuni unatekeleza siasa za kuigawa Iraq
Oct 09, 2017 10:50Mkuu wa Chombo cha Mahakama nchini Iran amesema kuwa kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan huko Iraq ni njama moja inayotekelezwa na madola ya kiistikbari khususan utawala wa Kizayuni ili kulishughulisha eneo hili.
-
Harakati za Israel za kutaka kupenya katika Umoja wa Afrika
Oct 07, 2017 23:12Balozi wa Palestina nchini Ethiopia amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya harakati za kutaka kupenya katika Umoja wa Afrika.
-
"Wazayuni ndio watu wanaogopa kifo zaidi duniani"
Oct 05, 2017 00:49Kituo kimoja wa Kizayuni kimetangaza data zilizotolewa na kituo cha kukusanya takwimu za hoteli za kimataifa na kukiri kuwa, Wazayuni ni watu nambari moja kwa woga na kuogopa kifo duniani.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio unaopata hasara kutokana na umoja wa Wapalestina
Oct 04, 2017 12:52Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala wa Kizayuni ndio unaopata hasara zaidi unapokuwepo umoja na mshikamano kati ya Wapalestina na ndio maana utawala huo wakati wote unafanya njama za kuyazozanisha makundi ya Palestina.
-
Utawala wa Kizayuni umekumbwa na wasiwasi kufuatia kuwekwa katika orodha nyeusi ya UN
Sep 28, 2017 10:43Rais wa Utawala wa Kizayuni amebainisha wasiwasi wake kuhusu orodha iliyotayarishwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala huo kuhusu nchi zinazokiuka haki za binadamu.