-
Utawala wa Kizayuni wauzuia ujumbe wa bunge la Ulaya kuingia Ghaza
Sep 19, 2017 03:24Utawala wa Kizayuni umekataa kuuruhusu ujumbe wa bunge la Ulaya kulizuru eneo la Ghaza kwa lengo la kuchunguza hali mbaya ya kibinadamu iliyosababishwa katika eneo hilo na mzingiro wa kiuchumi wa utawala huo wa Kizayuni.
-
Ubalozi mdogo wa Israel wafungwa New York, Netanyahu atishiwa kuuawa
Sep 16, 2017 03:47Ubalozi mdogo wa utawala haramu wa Israel mjini New York, Marekani umefungwa baada ya kupokea vitisho.
-
Mkutano wa utawala wa Kizayuni wa Israel na nchi za Afrika waakhirishwa
Sep 12, 2017 00:17Wizara ya Mambo ya Nje ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa mkutano wa utawala huo na nchi za Afrika uliokuwa umepangwa kufanyika mwezi ujao nchini Togo umeakhirishwa hadi wakati mwengine.
-
Mrithi wa Ufalme wa Saudia alifanya safari ya siri Israel
Sep 12, 2017 00:09Tovuti moja ya habari ya Kizayuni imeripoti kuwa Muhammad bin Salman, mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia wiki iliyopita alifanya safari ya siri huko Tel Aviv ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu.
-
Katibu wa Kamati ya PLO: Ujenzi wa vitongoji katika ardhi za Palestina umeongezeka kwa asilimia 85
Sep 06, 2017 23:49Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema ujenzi na upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina umoengezeka kwa asilimia 85 katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Agosti mwaka huu kulinganisha na kipindi kama hicho katika mwaka uliopita.
-
Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Canada yasusia Israel
Sep 05, 2017 23:11Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi katika sekta binafsi nchini Canada imetangaza rasmi kujiunga na 'Harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji wa Israel' maarufu kwa jina la BDS.
-
Imarati inanunua nyumba za wakazi wa Baitul Muqaddas kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni
Sep 03, 2017 09:13Naibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu amesema kuwa mashirika na taasisi za Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) yananunua nyumba za wakazi wa Baitul Muqaddas zilizo karibu na msikiti wa al Aqsa kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni.
-
Wazayuni kuzidi kupora ardhi za Wapalestina na kujenga vitongoji vya walowezi
Sep 02, 2017 22:00Utawala wa Kizayuni wa israel umesema utaendelea kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi wanazoporwa Wapalestina kusini mwa Nablos, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
-
Kulaaniwa siasa za Marekani na Israel katika marasimu ya kujibari na washirikina
Aug 31, 2017 09:15Mahujaji wa Kiirani wamelaani siasa za kupenda kujitanua za Marekani na utawala haramu wa Israel kupitia azimio lao walilolitoa mwishoni mwa marasimu ya kujibari na washirikina katika jangwa la Arafa.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kwamba Rais Bashar al-Assad wa Syria anaendelea kupata mafanikio
Aug 31, 2017 03:38Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekiri kwamba Rais Bashar al-Assad wa Syria na washirika wake, atakuwa amedhibiti maeneo yote ya taifa hilo kufikia mwishoni mwa mwaka kesho 2018.