-
Palestina yaitaka UN ichukue hatua kukomesha ughusubu wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 29, 2017 10:26Waziri Mkuu wa Palestina ameutaka Umoja wa Mataifa utekeleze jukumu lake kukomesha ughusubu na ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Palestina unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanazuoni wa Kiislamu Quds Tukufu wataka Waislamu wajitokeze kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa
Aug 28, 2017 23:53Wanazuoni wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Quds wametoa wito kwa Waislamu Wapalestina kujitokeza kwa wingi katika Msikiti wa al Aqsa mjini humo.
-
Maulamaa Sudan wataka kufutwa kazi waziri anayetaka uhusiano na Wazayuni
Aug 26, 2017 22:10Jopo la Maulamaa wa Sudan limetaka kufutwa kazi waziri wa uwekezaji wa nchi hiyo kutokana na kutoa mwito wa kuweko uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ahmad Bilal: Serikali ya Sudan inapinga kuwa na uhusiano na Israel
Aug 24, 2017 03:14Waziri wa Habari wa Sudan ametangaza kuwa, serikali ya Khartoum inapinga kuanzishwa uhusiano baina yake na utawala wa Kizayuini wa Israel.
-
Jitihada za utawala wa Kizayuni za kuwa na ushawishi mkubwa barani Afrika
Aug 16, 2017 22:07Utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya jitihada ili uwe na ushawishi kwa kuimarisha uhusiano wake na nchi za bara la Afrika kwa lengo la kujiondoa katika hali ya kutengwa. Katika uga huo, viongozi wa Tel Aviv wamepanga kuitisha mkutano mwezi Oktoba nchini Togo chini ya anuani "Kikao cha Viongozi wa Kiafrika na Israel."
-
Ripoti: Watoto wa Kipalestina wanateswa vibaya katika magereza ya kutisha ya Israel
Aug 06, 2017 23:13Kituo cha Uchunguzi wa Mateka wa Kipalestina kimetangaza kuwa, watoto wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel wamekuwa wakiadhibiwa na kuteswa vibaya.
-
Mwanahistoria wa Israel afichua namna MOSSAD ilivyowaua Mayahudi wa Morocco
Aug 01, 2017 22:14Mwanahistori mmoja wa Israel ametangaza kuwa, shirika la ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD llilifanya jinai kubwa kuwalenga Mayahudi wa Morocco kwa lengo la kuwashawishi Mayahudi hao waelekee huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Israel imepora nyaraka muhimu zaidi za msikiti wa al-Aqsa kipindi hiki
Jul 31, 2017 03:48Mkuu wa kituo cha kimataifa cha Quds amesema kuwa, hadi sasa nyaraka muhimu za idara ya waqfu wa Kiislamu mjini Qudsi zilizokuwa katika milango ya msikiti wa al-Aqsa zimeporwa kikamilifu na Wazayuni.
-
Ayatullah Araki: Hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa hazitaachwa bila majibu
Jul 29, 2017 09:18Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Msikiti wa al-Aqswa ni hujuma dhidi ya ubinadamu na kwamba, mashambulio hayo hayatabikia hivi hivi bila majibu.
-
Makumi ya Wapalestina watiwa nguvuni katika Msikiti wa Al-Aqsa
Jul 28, 2017 03:05Askari wa utawala wa Kizayuni wa israel wamewavamia Wapalestina waliofanya mgomo wa kukaa kitako katika msikiti wa Al-Aqsa na kuwatia nguvuni zaidi ya watu mia moja.