Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • HAMAS yapongeza operesheni ya Ukingo wa Magharibi iliyoangamiza na kujeruhi askari kadhaa wa Israel

    HAMAS yapongeza operesheni ya Ukingo wa Magharibi iliyoangamiza na kujeruhi askari kadhaa wa Israel

    Feb 04, 2025 07:43

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imepongeza operesheni ya kulipiza kisasi iliyotekelezwa dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ambako utawala huo ghasibu umeshadidisha hujuma na mashambulizi yake.

  • Kuongezeka mashinikizo dhidi ya watetezi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump

    Kuongezeka mashinikizo dhidi ya watetezi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump

    Feb 04, 2025 05:40

    Kwa kuanza muhula wa pili wa urais wa Donald Trump, pamoja na vitisho na hatua za serikali yake dhidi ya waungaji mkono wa Palestina, mashinikizo dhidi ya watu hao na harakati za ndani ya nchi hiyo pia zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.

  • Maelezo mapya ya Israel kuhusu kushindwa

    Maelezo mapya ya Israel kuhusu kushindwa "Kuba la Chuma" katika oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa

    Feb 03, 2025 23:19

    Jeshi la Israel limetoa maelezo mapya kuhusu kushindwa kwa mfumo wake wa ulinzi wa anga unaojulikana kama "Iron Dome" katika operesheni ya wanamuqawama wa Palestina ya kimbunga ya Al-Aqsa.

  • HAMAS yalaani mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni Jenin, Ukingo wa Magharibi

    HAMAS yalaani mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni Jenin, Ukingo wa Magharibi

    Feb 03, 2025 03:30

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Sheikh Naim Qassem: Maziko rasmi ya Shahidi Hassan Nasrullah yatafanyika Lebanon Februari 23

    Sheikh Naim Qassem: Maziko rasmi ya Shahidi Hassan Nasrullah yatafanyika Lebanon Februari 23

    Feb 03, 2025 02:24

    Mazishi ya kiongozi wa muda mrefu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah yatafanyika Februari 23, miezi kadhaa tangu alipouawa shahidi katika shambulio la kigaidi la anga lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.

  • Iceland yasisitiza kuendelea shughuli za UNRWA huko Palestina

    Iceland yasisitiza kuendelea shughuli za UNRWA huko Palestina

    Feb 02, 2025 23:02

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa wa Iceland amesisitiza juu ya udharura wa kuendelea kwa shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu hadi utatuzi wa uhakika na wa amani wa mzozo wa Palestina na Israel utakapopatikana.

  • Ansarullah: Muhammad al Dhaif alisabilia maisha yake kwa ajili ya kuikomboa Palestina

    Ansarullah: Muhammad al Dhaif alisabilia maisha yake kwa ajili ya kuikomboa Palestina

    Jan 31, 2025 23:02

    Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mkono wa pole kufuatia tangazo la kuuliwa shahidi Muhammad al Dhaif na kusema kamanda huyo Mpalestina alijitolea maisha yake kwa ajili ya kukomboa ardhi ya Palestina.

  • UN: UNRWA inaendelea kufanya kazi licha ya vikwazo vya Israel

    UN: UNRWA inaendelea kufanya kazi licha ya vikwazo vya Israel

    Jan 31, 2025 10:02

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) litaendelea na shughuli zake licha ya vikwazo vilivyowekwa na utawala wa Israel.

  • Kwa nini utawala wa Kizayuni unaendeleza ukaliaji ardhi kwa mabavu na vita kusini mwa Lebanon?

    Kwa nini utawala wa Kizayuni unaendeleza ukaliaji ardhi kwa mabavu na vita kusini mwa Lebanon?

    Jan 31, 2025 08:44

    Najib Miqati Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon amesisitiza kuwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni yanakiuka wazi mamlaka ya kujitawala ya Lebabon na ni ukiukaji mkubwa wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa baina ya pande mbili.

  • Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC

    Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC

    Jan 30, 2025 23:19

    Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni jibu la utoaji vitisho linalolenga kuiadhibu mahakama hiyo kwa uamuzi wake wa kutoa hati za kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita wa utawala huo wa Kizayuni Yoav Gallant.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS