Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Wazayuni: Tumeshindwa kuisambaratisha Intifadha ya Quds

    Wazayuni: Tumeshindwa kuisambaratisha Intifadha ya Quds

    Mar 09, 2016 23:17

    Duru za Wazayuni zinaripoti kwamba, utawala ghasibu wa Israel umeshindwa kukabiliana na Intifadha ya Quds inayoendeshwa na wanamapambano wa Kipalestina.

  • Isaac Herzog: Baraza la Mawaziri la Benjamin Netanyahu limeshindwa kukabiliana na muqawama wa Palestina

    Isaac Herzog: Baraza la Mawaziri la Benjamin Netanyahu limeshindwa kukabiliana na muqawama wa Palestina

    Mar 09, 2016 11:56

    Viongozi wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamelikosoa vikali Baraza la Mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kutokana na kushindwa kukabiliana na operesheni za wanamapambano wa Kipalestina.

  • Zarif: Inaaibisha nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni

    Zarif: Inaaibisha nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni

    Mar 07, 2016 12:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "inaaibisha" nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Zarif: Inaaibisha nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni

    Zarif: Inaaibisha nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni

    Mar 07, 2016 12:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema "inaaibisha" nchi za Kiislamu kuwa na ukuruba na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kuitangaza Hizbullah kundi la kigaidi, zawadi bora ya kuutunukia utawala wa Kizayuni

    Kuitangaza Hizbullah kundi la kigaidi, zawadi bora ya kuutunukia utawala wa Kizayuni

    Mar 05, 2016 03:52

    Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelaani taarifa iliyotolewa karibuni na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC ya kuliweka jina la harakati hiyo kwenye orodha ya "mashirika ya kigaidi" na kueleza kwamba hatua hiyo imechukuliwa katika muelekeo wa pamoja wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Israel yakiri kuhusu nguvu ya Hizbullah ya Lebanon

    Israel yakiri kuhusu nguvu ya Hizbullah ya Lebanon

    Mar 04, 2016 23:35

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Abdulahiyan: Kuiita Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi hakuna maskahi kwa M. ya Kati

    Abdulahiyan: Kuiita Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi hakuna maskahi kwa M. ya Kati

    Mar 03, 2016 03:18

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hatua ya kuiweka harakati ya Huzbullah ya Lebanon katika orodha ya makundi ya kigaidi ni sawa na kufumbia macho jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel suala ambalo halina faida kwa usalama na amani na eneo la Mashariki ya Kati.

  • Al Azhar: Hakuna vita baina ya Shia na Suni nchini Syria

    Al Azhar: Hakuna vita baina ya Shia na Suni nchini Syria

    Feb 24, 2016 22:30

    Licha ya njama zinazofanywa na Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kuuhusisha mgogoro wa Syria na masuala ya kimadhehebu, Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema kuwa vita vinavyoendelea nchini Syria si vita baina ya Shia na Suni.

  • Kuongezeka ukosoaji wa siasa za kijuba za Benjamin Netanyahu Mashariki ya Kati

    Kuongezeka ukosoaji wa siasa za kijuba za Benjamin Netanyahu Mashariki ya Kati

    Feb 23, 2016 04:14

    Wimbi jipya la ukosoaji wa siasa zilizofeli na za kijuba za Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu limeanza kushuhudiwa katika eneo zima la Mashariki ya Kati.

  • Wanasiasa wa Marekani ni watumishi wa utawala wa Kizayuni

    Wanasiasa wa Marekani ni watumishi wa utawala wa Kizayuni

    Feb 22, 2016 00:08

    Mchambuzi mmoja maarufu wa nchini Marekani amesema kuwa, wanasiasa wa Marekani wapo kwa ajili ya kuutumikia utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS