Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Rais wa Argentina apewa tuzo kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza!

    Rais wa Argentina apewa tuzo kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza!

    Jan 15, 2025 23:06

    Rais wa Argentina amepewa tuzo maalumu ya Wazayuni, "Tuzo ya Nobel ya Kiyahudi," kutokana na "uungaji mkono wake usio na mipaka kwa Israel" katika uhalifu na mauaji ya kimbari yanayofanyika huko Gaza.

  • Yemen yazishambulia Tel Aviv na bandari ya Eilat kwa droni na makombora

    Yemen yazishambulia Tel Aviv na bandari ya Eilat kwa droni na makombora

    Jan 15, 2025 04:10

    Msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa jeshi hilo limetekeleza oparesheni mbili za ndege zisizo na rubani na makombora dhidi ya shahaba zilizokusudiwa huko Tel Aviv na katika bandari ya Eilat katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Wapalestina wengine 19 wauawa shahidi

    Wapalestina wengine 19 wauawa shahidi

    Jan 13, 2025 23:40

    Wapalestina wengine 19 wameuawa shahidi katika muendelezo wa jinai za utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Makamanda wengi wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa Ghaza

    Makamanda wengi wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa Ghaza

    Jan 13, 2025 00:00

    Brigedia Jenerali mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kuwa asilimia 80 ya makamanda wa Brigedi ya Givati wameuawa au kujeruhiwa katika vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

  • Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Jan 11, 2025 23:09

    Sambamba na kuendelea mashambulizi ya jeshi la Israel dhidi ya watu wa Gaza, baridi kali pia imezidisha idadi ya watoto wanaoaga dunia hasa watoto wachanga katika ukanda huo.

  • UNRWA: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni kuundwa nchi huru ya Palestina

    UNRWA: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni kuundwa nchi huru ya Palestina

    Jan 09, 2025 22:58

    Kamishna Mkuu wa Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema, kuundwa kwa taifa huru la Palestina ndio suluhisho la matatizo ya eneo hilo.

  • Gazeti la Kizayuni lakiri, makombora ya Wayemeni ni hatari

    Gazeti la Kizayuni lakiri, makombora ya Wayemeni ni hatari

    Jan 06, 2025 23:13

    Gazeti la Kizayuni la Jerusalem Post limekiri kuwa makombora ya Yemen yana uwezo wa hali ya juu.

  • Wazayuni 3 waangamizwa katika oparesheni ya Ukingo wa Magharibi

    Wazayuni 3 waangamizwa katika oparesheni ya Ukingo wa Magharibi

    Jan 06, 2025 09:44

    Duru za habari zimearifu kuwa Wazayuni watatu wameangamizwa katika oparesheni iliyofanywa dhidi ya wavamiizi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan.

  • Yemen yawaonya Waisrael: Rudini mlikotoka kwenye nchi zenu za asili; hatutaiacha Ghaza peke yake

    Yemen yawaonya Waisrael: Rudini mlikotoka kwenye nchi zenu za asili; hatutaiacha Ghaza peke yake

    Jan 06, 2025 03:39

    Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amewashauri walowezi haramu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu waondoke katika maeneo hayo kurejea walikotoka kwa sababu Yemen haitasitisha oparesheni zake za kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Reuters ladai HAMAS imeafiki kuwaachia huru mateka 34 wa utawala wa Kizayuni

    Reuters ladai HAMAS imeafiki kuwaachia huru mateka 34 wa utawala wa Kizayuni

    Jan 06, 2025 03:09

    Shirika la habari la Reuters limedai kuwa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imekubali kuwaachia huru mateka 34 wa Kizayuni ambao orodha yao imetolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS