Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Jenerali Soleimani alikuwa bega kwa bega na Iraq katika nyakati ngumu kabisa

    Waziri Mkuu wa Iraq: Jenerali Soleimani alikuwa bega kwa bega na Iraq katika nyakati ngumu kabisa

    Jan 06, 2025 02:50

    Waziri Mkuu wa Iraq amemsifu na kumuenzi kamanda mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kupambana na ugaidi Luteni Jenerali Shahidi Qassem Soleimani, akisema, kamanda huyo alisimama bega kwa bega na nchi hiyo ya Kiarabu katika nyakati ngumu na za changamoto kubwa zaidi.

  • Kwa siku 3 Israel yashambulia zaidi ya mara 100 Ghaza, yaua Wapalestina zaidi ya 200, wengi wao ni wanawake na watoto

    Kwa siku 3 Israel yashambulia zaidi ya mara 100 Ghaza, yaua Wapalestina zaidi ya 200, wengi wao ni wanawake na watoto

    Jan 05, 2025 11:06

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua Wapalestina wasiopungua 88 katika muda wa siku moja katika maeneo kadhaa ya Ukanda wa Ghaza.

  • Utawala wa Kizayuni wakiri kuuliwa wanajeshi wake zaidi ya 800 na kujiuwa wengine 28

    Utawala wa Kizayuni wakiri kuuliwa wanajeshi wake zaidi ya 800 na kujiuwa wengine 28

    Jan 05, 2025 04:09

    Ikiwa imepita siku 456 tangu Israel ianzishe vita dhidi ya Gaza, utawala huo umekiri kuhusu baadhi ya maafa na vipigo ulivyopata tangu kutekelezwa Oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa na wanamuqawama wa Palestina.

  • Baraza la Usalama laitisha kikao kujadili hali ya Gaza

    Baraza la Usalama laitisha kikao kujadili hali ya Gaza

    Jan 04, 2025 03:50

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitisha kikao ambacho ajenda yake kuu ni kuchunguza mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza

    UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza

    Jan 03, 2025 08:34

    Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa upuuaji wa waziwazi' haki ya haki ya kiafya huko Gaza baada ya utawala wa Kizayuni wiki iliyopita kuishambulia Hospitali ya Kamal Adwan katika eneo hilo na kumtia nguvuni kihilela na kumuweka kizuizini Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dakta Hussam Abu Safiya.

  • Watoto wachanga wapatao 1,100 wameuliwa katika vita vya Israel dhidi ya Ghaza

    Watoto wachanga wapatao 1,100 wameuliwa katika vita vya Israel dhidi ya Ghaza

    Jan 02, 2025 03:19

    Watoto wachanga Wapalestina wapatao 1,100 wameuawa katika mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel tangu Oktoba 2023.

  • Wanajeshi wa Israel waendelea kupokea vipigo kutoka kwa wanamapambano wa Palestina

    Wanajeshi wa Israel waendelea kupokea vipigo kutoka kwa wanamapambano wa Palestina

    Dec 30, 2024 23:21

    Kundi la Saraya al-Quds, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina, limetangaza kwamba limefanikiwa kutoa kipigo kipya na kikali mno kwa wanajeshi makatili na vamizi wa Israel huko Ghaza.

  • Wafanyakazi wa BBC wafichua mhariri wao alivyochangia 'kusafisha' jinai za kivita za Israel Ghaza

    Wafanyakazi wa BBC wafichua mhariri wao alivyochangia 'kusafisha' jinai za kivita za Israel Ghaza

    Dec 30, 2024 00:15

    Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC wamefichua kuwa mhariri wao Raffi Berg ana udhibiti kamili wa ripoti zinazotolewa mitandaoni na shirika hilo kuhusu vita vya mauaji ya kimbari ya Israel huko Ghaza, na kuhakikisha kuwa habari zote zinazotolewa zinaipendelea Israel. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na tovuti ya habari ya Drop Site News.

  • Mcheza chess wa Iran akataa kushindana na mpinzani wa Israel akiwaunga mkono Wapalestina

    Mcheza chess wa Iran akataa kushindana na mpinzani wa Israel akiwaunga mkono Wapalestina

    Dec 30, 2024 00:15

    Katika kuwaunga mkono watu wa Palestina, mchezaji wa chess wa Iran amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mashindano ya World Rapid Chess Championship 2024 huko New York.

  • Jinai za Israel zinaendelea: Wapalestina wengine 15 wauawa shahidi

    Jinai za Israel zinaendelea: Wapalestina wengine 15 wauawa shahidi

    Dec 27, 2024 07:38

    Wapalestina wengine 15 wameuawa shahidi katika jinai ya hivi punde ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS