-
Israel imefanya kosa kubwa la kiistratijia kuua kigaidi makamanda wa Muqawama
Oct 16, 2024 07:08Balozi wa Iran nchini Lebanon amesema kuwa, jinai ya utawala wa Kizayuni ya kuwaua kigaidi makamanda wa Muqawama ni kosa kubwa la kiistratijia na kusisisitiza kuwa, Israel haiwezi kuimaliza nguvu Hizbullah kwa kuwaua kigaidi makamanda wake.
-
Ghalibaf: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kusitisha ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi na utawala wa Kizayuni
Oct 13, 2024 22:53Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Tunahitaji kukkomesha aina yoyote ya ushirikiano, msaada na mazungumzo na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusimamisha aina yoyote ya mpango wa kisiasa na kiuchumi unaousaidia utawala huo.
-
Mkakati wa Iran ni kuunga mkono muqawama na kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni za kuibua mivutano katika eneo
Oct 13, 2024 08:02Mkakati wa siku zote wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuunga mkono muqawama kwa lengo la kukabiliana na siasa za utawala wa Kizayuni za kuibua vita na migogoro katika eneo.
-
Shambulio la anga laua watu 23 katika eneo la soko mjini Khartoum, Sudan
Oct 13, 2024 06:43Mtandao wa timu ya waokoaji wa kujitolea nchini Sudan umesema, jeshi la nchi hiyo limefanya shambulizi la anga kwenye eneo la soko mjini Khartoum na kusababisha vifo vya watu 23.
-
Iran yakanusha madai ya kuhusika na operesheni ya Wapalestina ya Kimbunga cha Al Aqsa
Oct 13, 2024 03:40Ujumbe wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa umepuuzilia mbali ripoti za vyombo vya habari vya Marekani zinazodai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ilikuwa na taarifa kuhusu Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyotekelezwa mwaka jana na wapigania ukombozi wa Palestina dhidi ya utawala wa Israel.
-
Kuundika mwafaka wa kimataifa dhidi ya Israel
Oct 12, 2024 22:39Utawala wa Kizayuni unaendelea kulaaniwa na kukosolewa pakubwa kimataifa kufuatia kuendelea jinai kubwa za utawala huo katika vita vya Gaza hususan mauaji ya kimbari unayotekekeleza dhidi ya Wapalestina na hivi sasa mashambulizi ya kila upande dhidi ya Lebanon ambayo yamewaua shahidi maelfu ya watu na kujeruhi makumi ya maelfu ya wengine huko Gaza na Lebanon.
-
Hamas: Mauaji ya Jabalia ni kulipiza kisasi dhidi ya raia wa Palestina
Oct 12, 2024 08:54Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika kukabiliana na jinai mpya iliyofanywa na utawala wa Kizayuni katika kambi ya Jabalia, kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, imetoa taarifa na kueleza kuwa, mauaji ya utawala huo ghasibu katika kambi hiyo ni kuwaadhibu wakazi wa eneo kwa kusimama kidete na kupinga juhudi za utawala wa Kizayuni za kuwafukuza Wapalestina katika ardhi zao.
-
Iran: Walimwengu wachukue hatua kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni
Oct 12, 2024 03:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, walimwengu wanapaswa kuchukua hatua za pamoja kukabiliana na hatua za kishari na jinai za utawala haramu wa Israel.
-
Waziri Mkuu wa Burkina Faso: Ukraine inatoa msukumo kwa ugaidi Afrika ili kuidhoofisha Russia
Oct 11, 2024 04:05Waziri Mkuu wa Burkina Faso, Apollinaire Kyelem de Tambela amesema, Ukraine inayasaidia makundi ya magaidi katika eneo la Sahel barani Afrika; na inafanya hivyo kwa nia ya kuidhoofisha Russia ambayo inashirikiana kijeshi na nchi za eneo hilo.
-
Hizbullah yaendelea kuyatwanga maeneo ya Wazayuni kwa mvua ya makombora
Oct 10, 2024 23:08Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon umeendelea kutoa vipigo vikali kwa walowezi wa Kizayuni kwa kuyashambulia kwa makombora maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina la Israel na maeneo mengine muhimu ya Wazayuni kama Haifa.