-
Kusalia Imara Mhimili wa Muqawama
Oct 10, 2024 23:05Baada ya kutekelezwa Oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa, Utawala wa Kizayuni wa Israel ulidhani kuwa ungeweza kuiangamiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa mashambulizi ma kubwa na kuigeuza Gaza kuwa ardhi iliyoungua.
-
China na Russia zakosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 10, 2024 03:43Wawakilishi wa Kudumu wa China na Russia katika Umoja wa Mataifa wameikosoa vikali Israel kwa kushindwa kutafuta amani na kuzuia juhudi za kukomesha mauaji ya watu wa Palestina.
-
Muendelezo wa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za muqawama wa Kiislamu wa Iraq dhidi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel)
Oct 10, 2024 02:05Muqawama wa Kiislamu wa Iraq kwa mara nyingine tena umelenga na kushambulia moja ya maeneo muhimu kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ndege isiyo na rubani.
-
Uchunguzi wa matokeo ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon na Palestina
Oct 07, 2024 22:45Utawala wa Kizayuni wa Israel unatumia silaha zilizopigwa marufuku kushambulia maeneo ya raia ya Lebanon na Ukanda wa Gaza.
-
Mwaka mmoja baada ya Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa; Israel yaendeleza mauaji ya kimbari
Oct 07, 2024 03:55Jumatatu ya leo 7 Oktoba inasadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilipotekeleza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Katibu Mkuu wa UN: Sasa ni wakati wa kunyamazishwa sauti za bunduki Mashariki ya Kati
Oct 06, 2024 03:59Katika mkesha wa kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa mashambulizi ya Oktoba 7, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukomesha mara moja "umwagaji damu na ukatili wa kutisha" katika ukanda wa Gaza na Lebanon, kunyamazisha sauti za bunduki na kurejeshwa amani katika eneo hilo.
-
Hizbullah yashambulia kampuni ya viwanda vya kijeshi vya Israel
Oct 06, 2024 03:58Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mabomu kampuni ya viwanda vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni ya "ETA".
-
Araghchi akosoa uzembe wa Baraza la Usalama katika kukabiliana na jinai za Israel
Oct 05, 2024 23:21Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uzembe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na vitendo haramu na jinai za utawala wa Kizayuni ambazo zinafanyika kwa himaya na uungaji mkono wa Marekani na Uingereza.
-
Jibu la kulipiza kisasi la Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni lilitolewa kwa msingi wa sheria za kimataifa
Oct 05, 2024 22:53Licha ya kuwa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetekeleza Operesheni ya "Ahadi ya Kweli 2" kwa ajili ya kuonyesha uwezo wake wa kistratijia wa kuuadhibu utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini wakati huo huo ni wazi kuwa hatua hiyo iliyochukuliwa kwa ajili ya kulinda heshima ya taifa la Iran imefanyika kwa msingi wa sheria za kimataifa.
-
Wazayuni wafanya mashambulizi makubwa katika hospitali moja huko mjini Beirut
Oct 05, 2024 09:08Wavamizi wa Kizayuni wamelenga hospitali ya Bint Jbeil iliyoko kusini mwa Lebanon.