Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Umuhimu wa kuwepo umoja na ushirikiano wa Ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na muendelezo wa vita vya utawala wa Kizayuni

    Umuhimu wa kuwepo umoja na ushirikiano wa Ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na muendelezo wa vita vya utawala wa Kizayuni

    Oct 05, 2024 07:04

    Uchokozi na vita vya utawala haramu wa Israel katika eneo vimeongeza maradufu, jambo linalotoa udharura wa kuwepo umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na utawala huo ghasibu.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Usitishaji vita Lebanon na Gaza unapaswa kufanyika kwa wakati mmoja

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Usitishaji vita Lebanon na Gaza unapaswa kufanyika kwa wakati mmoja

    Oct 04, 2024 23:04

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran inaunga mkono usitishaji vita kwa sharti kwamba, haki za wananchi wa Lebanon ziheshimiwe na kukubaliwa na Muqawama na kusema: Usitishaji huo wa mapigano unapaswa kuwa sawia na usitishaji vita huko Gaza.

  • Kikao cha Baraza la Usalama la UN na makabiliano ya mitazamo kuhusu matukio ya eneo la Asia Magharibi

    Kikao cha Baraza la Usalama la UN na makabiliano ya mitazamo kuhusu matukio ya eneo la Asia Magharibi

    Oct 03, 2024 07:46

    Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kujadili matukio ya Asia Magharibi kufuatia shambulio la makombora lililofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kujibu jinai za Israel kimeambatana na matamshi ya kifidhuli yaliyotolewa na mwakilishi wa utawala huo wa Kizayuni ukiungwa mkono na nchi za Magharibi.

  • Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina

    Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina

    Oct 03, 2024 07:30

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jioni ya Ijumaa (tarehe 6 Oktoba 2024) lilifanya mashambulizi ya kikatili ambayo hayajawahi kutokea katika viunga vya kusini mwa Beirut nchini Lebanon.

  • Araghchi atoa onyo kali kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni Asia Magharibi

    Araghchi atoa onyo kali kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni Asia Magharibi

    Oct 03, 2024 04:42

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ameeleza kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni ndio chanzo cha mgogoro mkubwa katika eneo la Magharibi mwa Asia.

  • Operesheni ya Ahadi ya Kweli-2:  Hatua ya Iran ya kujilinda kihalali

    Operesheni ya Ahadi ya Kweli-2: Hatua ya Iran ya kujilinda kihalali

    Oct 02, 2024 08:47

    Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja shambulio kali la makombora la Iran la Oktoba Mosi dhidi ya utawala haramu wa Israel kuwa ni haki yake halali ya kujilinda kwa msingi wa Kifungu cha 51 cha Hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Tathmini ya vipengele vya kijeshi vya Operesheni ya Ahadi ya Kweli -2: Jibu kwa shari za Israeli

    Tathmini ya vipengele vya kijeshi vya Operesheni ya Ahadi ya Kweli -2: Jibu kwa shari za Israeli

    Oct 02, 2024 07:44

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) jana usiku lilitoa taarifa likitangaza kuwa limeshambulia kitovu cha maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel) ikiwa ni katika kujibu mauaji ya shahidi Ismail Haniyeh, Sayyid Hassan Nasrullah na Meja Jenerali Abbas Nilforoushan Kamanda na mshauri wa ngazi ya juu wa IRGC huko Lebanon.

  • Hizbullah ya Lebanon yawatwanga tena kwa makombora wanajeshi wa utawala wa Kizayuni

    Hizbullah ya Lebanon yawatwanga tena kwa makombora wanajeshi wa utawala wa Kizayuni

    Oct 01, 2024 10:28

    Wanamapambano wa Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon wamefanya mashambulizi mengine makali kwa kulitwanga kwa makombora eneo walipokuwa wamekusanyika wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika maeneo ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.

  • UNICEF yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya  ya watoto wa Lebanon

    UNICEF yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watoto wa Lebanon

    Oct 01, 2024 10:16

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Lebanon na ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya watoto nchini humo.

  • Kukosoa Araghchi

    Kukosoa Araghchi "kutochukua hatua" Baraza la Usalama kukabiliana na jinai za Wazayuni dhidi ya Gaza na Lebanon

    Oct 01, 2024 05:01

    Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kutochukua hatua kutokana na ukwamishaji mambo wa Marekani na waungaji mkono wengine wa Magharibi wa Israel kuwa ndio sababu kuu ya kuendelea jinai, chokochoko na vitendo visivyo halali vya utawala haramu wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS