-
Jeshi la Israel lashambulia tena Hospitali ya Al-Shifa, laua na kujeruhi kadhaa
Mar 18, 2024 08:24Vikosi vya jeshi la utawala wa Israel vilivyojizatiti kwa silaha nzito vimevamia hospitali ya al-Shifa katika mji wa Ghaza kwa kutumia vifaru na ndege zisizo na rubani na kuwafyatulia risasi watu waliokuwa ndani ya jengo hilo.
-
Joe Biden akiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu Marekani
Mar 17, 2024 23:03Ijumaa, Februari 15, Rais Joe Biden wa Marekani huku akikiri kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo tangu kuanza mashambulizi ya Wazayuni huko Gaza alisema: 'Waislamu kote duniani wanapitia hali ngumu kutokana na imani yao.'
-
Mashambulio pacha ya jeshi la Kizayuni yaua Wapalestina 29 waliokuwa wakingojea msaada wa chakula Ghaza
Mar 15, 2024 04:27Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wapatao 29 wakati wakisubiri msaada katika mashambulizi mawili tofauti lililofanywa dhidi ya Ukanda wa Ghaza uliozingirwa.
-
Hali mbaya ya mateka wa Kipalestina katika jela za Kizayuni
Mar 14, 2024 03:07Katika taarifa yake, Klabu ya Mateka wa Palestina imetahadharisha kuhusu hali mbaya ya mateka hao wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa kibaguzi wa Israel.
-
Kushadidi mivutano baina ya vyama vya upinzani na Baraza la Mawaziri la Israel
Mar 12, 2024 02:24Yair Lapid, kiongozi wa chama cha upinzani cha Yesh Atid amekiri juu kushadidi hitilafu na mizozo ya ndani baina ya vyama vya upinzani na Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Rabi mkuu wa Wayahudi atishia kuondoka katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Mar 11, 2024 22:54Rabi Mkuu wa Wayahudi, Ishaq Yosef, ametishia kuwa wataondoka wote Israel iwapo kabila la Lawi litalazimishwa kujiunga na jeshi la utawala wa Kizayuni.
-
Sisitizo la Rais wa Chile na Waziri Mkuu wa Uhispania la kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Ghaza
Mar 11, 2024 04:17Waziri Mkuu wa Uhispania na Rais wa Chile, pamoja na kulaani mashambulizi ya jeshi la Israel huko Ghaza, wametaka kusitishwa mara moja mapigano hayo.
-
Kukosolewa propaganda za Marekani kuhusiana na misaada ya kibinadamu
Mar 10, 2024 07:50Akihutubia bunge la Marekani siku ya Alkhamisi, Rais Joe Biden alisema ameliamuru jeshi la nchi hiyo kuweka bandari kwenye pwani ya Gaza katika Bahari ya Mediterania.
-
Juhudi za Afrika Kusini za mashinikizo zaidi ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni
Mar 09, 2024 04:05Kufuatia kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina, Afrika Kusini imewasilisha ombi la dharura katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ, ikiitaka korti hiyo ya Umoja wa Mataifa ichukue hatua zaidi za dharura dhidi ya Israel, ikisisitiza kuwa utawala huo wa Kizayuni umeendelea kupuuza amri iliyotolewa na chombo hicho cha sheria.
-
Hizbullah yaipiga komandi ya kijeshi ya Israel kwa makombora ya mizinga
Mar 08, 2024 23:27Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza kwa kukitwanga kwa makombora kituo kilichoanzishwa karibuni tu cha komandi ya kijeshi ya Israel kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.