-
Mkuu wa mtandao wa fedha wa shirika la ujasusi la Israel Mossad atiwa mbaroni nchini Uturuki
Sep 04, 2024 02:38Polisi wa Istanbul wamemtia mbaroni Liridon Rexhepi, ambaye Shirika la Taifa la Intelijensia la Uturuki (MIT) limemtambua kama Mkuu wa Mtandao wa Fedha wa shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel Mossad ndani ya nchi hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa jana Jumanne na duru za usalama za Uturuki.
-
Wananchi wa Uturuki wafanya maandamano Istanbul kuunga mkono Gaza
Aug 26, 2024 11:26Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano ya kulalamikia siasa za kijeshi na mauaji yanayofanywa na utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya wanawake na watoto wadogo katika eneo la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu.
-
Uturuki yajiunga rasmi na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Aug 10, 2024 02:33Uturuki imetangaza kuwa, imewasilisha rasmi ombi la kujiunga na kesi ya Afrika Kusini iliyowasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).
-
Kushadidi mvutano baina ya Uturuki na utawala ghasibu wa Israel
Jul 31, 2024 03:04Matamshi ya rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kuhusu uwezekano wa kuchukua hatua dhidi ya Israel sawa na hatua zilizochukuliwa Karabakh na Libya yameongeza mvutano wa maneno kati ya Ankara na Tel Aviv.
-
Ulaya yaendelea kushuhudia maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina
Jul 29, 2024 02:56Wananchi wa nchi mbalimbali za barani Ulaya kwa mara nyingine wamefanya maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Gaza, Palestina.
-
Erdogan: Nchi za Magharibi zimekuwa mateka wa mtu kichaa kama Netanyahu
Jun 27, 2024 02:58Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alisema jana Jumatano kwamba nchi yake inasimama bega kwa bega na Lebanon kutokana na mvutano unaozidi kuongezeka na utawala wa Kizayuni wa Israel, na amezitaka pande za kikanda kumuunga mkono katika msimamo huo.
-
Iran: Marekani na Israel lazima ziwajibishwe kwa mauaji ya kimbari ya Ghaza
Jun 10, 2024 08:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zimeshindwa katika vita vyao dhidi ya Ukanda wa Ghaza uliozingirwa na lazima ziwajibishwe kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.
-
Bagheri Kani: Iran ni miongoni mwa 'wapaza sauti wakubwa zaidi' dhidi ya jinai za Israel Ghaza
Jun 09, 2024 10:03Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ni mojawapo ya nchi ambazo zimepaza "sauti kubwa zaidi" dhidi ya jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel za mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Erdogan: Netanyahu, mwenye kiu ya damu sharti akomeshwe
Jun 03, 2024 11:27Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine amemshambulia vikali kwa maneno Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu na kumtaja kama mtu mwenye kiu ya kumwaga na kufyonza damu.
-
Mawaziri wa Iran na Uturuki wajadili jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel Gaza
Jun 02, 2024 09:25Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Uturuki wamefanya mazungumzo na kujadili hali ya mambo huko Palestina hususan jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Gaza.