-
Serikali ya Slovenia yaidhinisha hoja ya kuitambua nchi huru ya Palestina
May 31, 2024 09:58Vyombo vya habari vya Slovenia vimetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo imeidhinisha hoja ya kuitambua Palestina kuwa ni nchi rasmi na huru.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kusitishwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel
May 21, 2024 12:32Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametilia mkazo kusitishwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Iran yapongeza uamuzi wa Uturuki kukata uhusiano wa kibiashara na utawala wa Israel
May 05, 2024 12:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza uamuzi wa serikali ya Uturuki wa kukata uhusiano wa kiuchumi na kibiashara na utawala wa Kizayuni wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Hakan Fidan: Uturuki itaomba kujiunga katika kesi ya mauaji ya kimbari inayoikabili Israel huko ICJ
May 02, 2024 02:36Hakan Fidan Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa nchi hiyo itaomba kuwa sehemu ya kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya Israel. Itakumbukwa kuwa serikali ya Afrika Kusini imefungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mauaji yake ya kimbari huko Gaza.
-
Rais wa Uturuki: Israel imempiku Hitler kwa kuua watoto 14,000 wasio na hatia Ghaza
Apr 17, 2024 11:11Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, Israel tayari imempiku kiongozi wa Wanazi Adolf Hitler kwa kuua zaidi ya watoto 14,000 wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.
-
Katika barua kwa Papa, Erdogan ataka Ubinadamu ukomeshe ukiukaji zaidi wa sheria unaofanywa Ghaza
Apr 14, 2024 02:32Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa wito kwa watu duniani kote kuzungumza dhidi ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya hospitali, skuli, misikiti na makanisa katika Ukanda wa Ghaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Imarati, Uturuki wajadiliana matukio ya Ghaza
Apr 11, 2024 09:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake ya simu na mawaziri wenzake wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Uturuki kwamba kuna udharura wa kukomeshwa haraka jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.
-
Rais Raisi: Kukata uhusiano wa kiuchumi na kisiasa ndiyo silaha bora ya kuipigisha magoti Israel
Apr 11, 2024 02:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kukatwa uhusiano wa kiuchumi na kisiasa wa nchi za Waislamu na utawala wa Kizayuni ndiyo silaha bora ya kukomesha jinai za Wazayuni huko Palestina.
-
Wananchi wa Uturuki washiriki katika uchaguzi muhimu wa serikali za mitaa
Mar 31, 2024 11:11Vituo vya kupigia kura nchini Uturuki vilifunguliwa mapema leo asubuhi kuruhusu wananchi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotajwa kuwa ni mtihani muhimu kwa Rais Recep Tayyip Erdogan wa nchi hiyo. Weledi wa mambo wanasema kuwa Rais wa Uturuki anakabiliwa na kibarua kigumu ili kuyarejesha maeneo muhimu ya mijini aliyoshindwa na upinzani miaka mitano iliyopita.
-
Erdogan: Dunia iishinikize Israel itekeleze azimio la Baraza la Usalama la UN
Mar 29, 2024 02:38Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan ameitaka jamii ya kimataifa iendelee kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel utekeleze azimio la kutaka kusitishwa mara moja mapigano huko Gaza, lililopasishwa majuzi na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.