Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Uturuku kuufanyia majaribio mfumo wa S-400 licha ya vitisho vya US

    Uturuku kuufanyia majaribio mfumo wa S-400 licha ya vitisho vya US

    Nov 26, 2019 00:45

    Jeshi la Uturuki limesema karibuni hivi litaanza kuufanyia majaribio mfumo wake wa ulinzi wa makombora wa S-400 ulionunuliwa kutoka Russia, licha ya vitisho vya kuwekewa vikwazo na Marekani.

  • Uturuki katika muamala wa hila na ujanja wa kupora maliasili za Syria

    Uturuki katika muamala wa hila na ujanja wa kupora maliasili za Syria

    Nov 21, 2019 04:20

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema, amelikataa pendekezo la kugawana utajiri wa mafuta ya Syria lililotolewa na baadhi ya madola ya kigeni.

  • Kuwarejesha wanachama wa Daesh raia wa Ulaya; wenzo wa mashinikizo mapya wa Uturuki

    Kuwarejesha wanachama wa Daesh raia wa Ulaya; wenzo wa mashinikizo mapya wa Uturuki

    Nov 16, 2019 23:05

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uturuki imewafukuza Istanbul raia saba wa nchi za nje wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh.

  • Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Misri kwa kununua ndege za kivita za Russia

    Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Misri kwa kununua ndege za kivita za Russia

    Nov 16, 2019 07:47

    Mitazamo ya upande mmoja ya Marekani na juhudi za nchi hiyo za kuimarisha ubeberu wake duniani, ambazo zimepata kasi kubwa katika utawala wa Rais Donald Trump, imechukua muelekeo mpya ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa huko nyuma.

  • Sisitizo la Marekani la kuvunja kikamilifu mkataba wake na Uturuki kuhusu ndege za kivita za F-35

    Sisitizo la Marekani la kuvunja kikamilifu mkataba wake na Uturuki kuhusu ndege za kivita za F-35

    Nov 16, 2019 02:40

    Uhusiano wa Marekani na Uturuki haujatengenea tangu mwaka 2016 baada ya kutokea jaribio la mapinduzi nchini Uturuki na hasa kitendo cha Marekani cha kukataka kumkabidhi kwa Uturuki, Fethullah Gülen, anayetuhumiwa na Ankara kuwa muhusika mkuu wa jaribio hilo la mapinduzi.

  • Uturuki yamrejesha mwanachama wa ISIS nchini Marekani

    Uturuki yamrejesha mwanachama wa ISIS nchini Marekani

    Nov 11, 2019 07:54

    Uturuki imesema imemrejesha mwanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi yake ya Marekani, huku Ankara ikianza kuwarejesha makwao magaidi wa genge hilo la ukufurishaji iliowakamata.

  • Mousavi: Iran inapinga ukiukwaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala  mataifa ya eneo

    Mousavi: Iran inapinga ukiukwaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo

    Nov 10, 2019 09:54

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linapinga ukiukaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo hili.

  • Sisitizo jingine la Uturuki la kuendeleza operesheni za kijeshi kaskazini mwa Syria

    Sisitizo jingine la Uturuki la kuendeleza operesheni za kijeshi kaskazini mwa Syria

    Nov 10, 2019 07:56

    Licha ya makubaliano ya hivi karibuni kati ya Uturuki na Russia juu ya kuhitimishwa uvamizi wa kijeshi katika maeneo ya kaskazini na kaskazini mashariki mwa Syria, Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki hajakanusha suala la nchi yake kuendeleza operesheni za kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Rais Emmanuel Macron: Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo

    Rais Emmanuel Macron: Shirika la kijeshi la NATO limekufa ubongo

    Nov 08, 2019 04:48

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa sambamba na kuonyesha wasi wasi wake kuhusiana na iwapo Marekani itaendeleza ahadi zake katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO amesema kuwa, shirika hilo limekumbwa na kifo cha ubongo.

  • Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

    Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi

    Nov 05, 2019 03:57

    Uturuki imetangaza habari ya kumtia mbaroni dada ya Abu Bakr al-Baghdadi, kinara wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) aliyejiua katika operesheni ya Marekani hivi karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS