-
Uturuki: Ufaransa na Israel zilitaka kuunda 'dola la kigaidi' Syria
Nov 02, 2019 09:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema Ufaransa na utawala wa Kizayuni wa Israel zilikuwa na hamu kubwa ya kuunda dola la kigaidi ndani ya ardhi ya Syria.
-
Iran na Uturuki; washirika wawili wa kuaminiana katika wakati mgumu
Oct 31, 2019 06:56Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki, kama nchi mbili jirani zina kiwango kizuri cha uhusiano katika nyuga mbali mbali hasa za kiuchumi na katika uga wa kieneo pia ni nchi mbili athirifu.
-
Russia: Kuna ugumu katika utekelezaji wa makubaliano tuliyofikia na Uturuki kuhusu Syria
Oct 30, 2019 23:01Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergey Shoygu amesema, utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi yake na Uturuki kuhusu Syria umekuwa ukisuasua.
-
Rais Bashar al Assad atembelea mstari wa mbele wa vita dhidi ya magaidi kusini mwa Idlib
Oct 22, 2019 08:25Rais Bashar al Assad wa Syria akiwa pamoja na makamanda wa jeshi la nchi hiyo, amefika katika mstari wa mbele wa vita dhidi ya makundi ya kigaidi katika mkoa wa Idlib.
-
Marekani yasema iko tayari kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Uturuki
Oct 22, 2019 04:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema Rais Donald Trump yuko tayari kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Uturuki iwapo 'italazimu'.
-
Bashar al Assad: Wanajeshi vamizi wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria
Oct 18, 2019 23:09Rais wa Syria amesema kuwa wanajeshi vamizi wa nchi za kigeni wamelikalia kwa mabavu eneo la kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa kuna ulazima wanajeshi hao kuondoka katika eneo hilo.
-
Licha ya kuafiki kusitisha mashambulio, ndege za kivita za Uturuki zaendelea kuua raia Syria
Oct 18, 2019 11:51Mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Uturuki yameua raia wasiopungua watano huku mapigano ya hapa na pale yakiendelea kati ya majeshi ya nchi hiyo na wapiganaji wa Kikurdi kaskazini mashariki mwa Syria licha ya maafikiano ya kusitisha hujuma yaliyofikiwa kati ya Uturuki na Marekani hapo jana.
-
Operesheni ya Uturuki imefanya watu laki 3 kuwa wakimbizi Syria
Oct 17, 2019 23:54Operesheni ya kijeshi ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria iliyopewa jina la 'Chemchemi ya Amani' imepelekea watu zaidi ya laki tatu kuyahama makazi yao na kukimbilia usalama wao.
-
Bunge la Marekani lalaani hatua ya Trump kuondoa wanajeshi wa Marekani Syria
Oct 17, 2019 23:53Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuondoa wanajeshi wa Marekani kaskazini mwa Syria, jambo ambalo limewezesha Uturuki kushambulia eneo hilo, imekosolewa ndani ya Marekani.
-
Rais Tayyip Erdoğan: Uturuki haiogopi vikwazo vya Marekani
Oct 17, 2019 09:52Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amedai kwamba lengo la operesheni za nchi yake kaskazini mwa Syria lipo wazi na kwamba serikali ya Ankara haiogopi hata kidogo vikwazo vya Marekani.