-
Taasisi za kimataifa zatahadharisha kuhusu athari za mashambulizi ya Uturuki kaskazini mwa Syria
Oct 11, 2019 04:07Taasisi nyingi za kimataifa zimetahadharisha kuhusu taathira za mashambulizi ya Uturuki kaskazini mwa Syria na kutangaza kuwa mashambulizi hayo yanaweza kusababisha mamia ya watu kuwa wakimbizi.
-
Shambulizi la Uturuki dhidi ya Syria katika mtazamo wa serikali ya Damascus
Oct 10, 2019 14:46Uvamizi wa jeshi la Uturuki huko kaskazini mwa Syria umekabiliwa na upinzani mkali serikali ya Damascus na makundi ya Kikurdi ya Syria.
-
Spika wa Bunge la Iran aghairisha safari yake ya Uturuki baada ya nchi hiyo kuivamia kijeshi Syria
Oct 10, 2019 04:21Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameghairisha safari aliyokuwa amepanga kufanya nchini Uturuki kufuatia hatua ya nchi hiyo ya kuivamia kijeshi ardhi ya Syria.
-
Uturuki na Russia zatupilia mbali sarafu ya dola katika biashara
Oct 10, 2019 00:49Uturuki na Russia zimetia saini mapatano ya kutupilia mbali sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara baina yao.
-
Rais Rouhani: Njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli
Oct 09, 2019 10:27Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli na kwamba takwimu zote na moyo na utanashati wa taifa la Iran vinaonesha kuwa, kipindi cha mashinikizo ya kiwango cha juu kimeyoyoma.
-
Jarida la Newsweek: Trump ameogopa vitisho vya Rais Erdoğan wa Uturuki kuhusu Syria
Oct 08, 2019 23:03Jarida la Newsweek la Marekani limemnukuu mmoja wa viongozi wa serikali ya nchi hiyo akisema kuwa, Rais Donald Trump amesalimu amri mbele ya matakwa ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuhusiana na Syria na kuyakubali bila ya pingamizi lolote.
-
Baada ya kutupwa mkono na Marekani, sasa Wakurdi wa Syria wajiandaa kujiunga na serikali
Oct 08, 2019 23:02Kamanda Mkuu wa Wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria ameelezea uwezekano wa kushirikiana na serikali ya Damascus kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya Uturuki dhidi ya maeneo ya mpakani kaskazini mwa Syria.
-
Uturuki yaihakikishia Iran, mashambulizi yake Syria ni ya muda mfupi
Oct 08, 2019 04:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amemhakikishia mwenzake wa Iran kwamba, mashambulizi ya jeshi la nchi hiyo huko kaskazini mwa Syria yaliyoanza Jumatatu usiku ni ya muda mfupi.
-
Kushirikiana Marekani na Ulaya kuiwekea mashinikizo Uturuki baada ya kugundua gesi
Oct 07, 2019 23:47Uhusiano wa Uturuki na Marekani hasa baada ya kufeli jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 15 Julai 2016, umeendelea kugubikwa na mizozo mingi.
-
Uturuki kuanzisha vyuo vitatu kaskazini mwa Syria
Oct 06, 2019 23:07Vyombo vya habari vya Uturuki vimeripoti juu ya uamuzi wa serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo wa kuanzisha vyuo vitatu, huko kaskazini mwa Syria, chini ya usimamizi wa Chuo Kikuu cha Gaziantep cha Uturuki.